Kwa wanaume: Kama ungekuwa mwanamke...

tumeshuhudia siku hiz kina dada wakiwa warahisi sana kugawa penzi. Hv we ungekuwa mwanamke ungekubal kugawa penz kirahis? Msiniulize msimamo wangu...
sijawahi na sitafikiria kuwa mwanamke hata siku moja............hakuna jibu.
 
nilitaka nisichangie. lkn labda hata kamchango kanatosha. siwezi hata imagine kuwa mwanamke. sorry kwa ntakaowakwaza but kama mwanaume, I cant put my mind kuwa nimekuwa mwanamke. sooo sssorrryyy mtoa mada sina msaada!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom