Kwa wanaume: Kama ungekuwa mwanamke...

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Tumeshuhudia siku hiz kina dada wakiwa warahisi sana kugawa penzi. Hv we ungekuwa mwanamke ungekubal kugawa penz kirahis? Msiniulize msimamo wangu...
 
Tumeshuhudia siku hiz kina dada wakiwa warahisi sana kugawa penzi. Hv we ungekuwa mwanamke ungekubal kugawa penz kirahis? Msiniulize msimamo wangu...

Sitaki ht kufikiria hiki kitu....namshukuru sn M.Mungu kwa kuniumba na jinsia hii.
 
ila tumeshuhudia na baadhi ya wanaume siku hizi wakitamani kuwa wanawake pia

haaahaaa...mwenye upele hapewi kucha.

Wanawake wanatamani sana wangekuwa madume.

mi mwenyewe ningekuwa mwnaume halafu nyiue wanaume muwe wanawake mngenitambua...maana ningebokoa mpaka tundu za jasho!

Mwosha huoshwa!!

Sitaki ht kufikiria hiki kitu....namshukuru sn M.Mungu kwa kuniumba na jinsia hii.

Kibantu mwanaume ujipa bichwa ya kwamba yeye tu ndiye kamtengeneza/fanyia kazi mwanamke
lakini ukweli ni kwamba kila mtu napata anachopata mwingine na hakuna wa zaidi nyie jidanganyeni tu
 
Miningekuwa mgumu sana masharti kama ifuatavyo;
1.Uje na picha 4 za passport size
2.Barua kutoka kwa mwajiri
3.Mali isiyohamishika
4.wadhamini 5 wasio na record mbaya kwenye jamii
5.cheti cha kuzaliwa
6.Bank akaunt isiyopungua 200 milioni
 
mmmhhh.....hapo ungemtengeneza wa kwako.
 
mi mwenyewe ningekuwa mwnaume halafu nyiue wanaume muwe wanawake mngenitambua...maana ningebokoa mpaka tundu za jasho!
umenichekesha saaana mpaka nimeanza ku imagine wasifu wako hahaaaa. kweli kuna mdada mmoja kazini naye huwa ansema hivyo hivyo kwamba angepewa bunduki yaani angewabutua ma sista duu mpaka washangae
 
kwa kweli sitaki ku imagine eti nipo mwanamke jamaa linanipumulia arrrgh tubaki hivi hivi bila fikra za kuwa nyapu.
Acha dharau mwanaume wewe....kwani wanawake ndo hawawapumulii nyie?!Au wanaume tu ndo wenye pumzi?!Mijitu mingine inaboa...kama kua mwanamke ni kitu kibaya kiasi cha wewe kua negative kuhusu uanamke kiasi hicho usiwe na mwanamke kua na mwanaume mwenzio ambae nae ni kiumbe cha maana kama wewe!!!AU ULIZALIWA NA MWANAUME WEWE?!
 
mh! Lizzy samahani km nimekukwaza sidhani km umeelewa concept yangu si dharau ni ya ki mtizamo zaidi wala si kudharau mwanamke. nimeumbwa mwanaume kwa nini niwaze kuwa mwanamke! km ukifahamu kwa nini mwanaume anaweza akawa na mwanamke nje ya ndoa lkn siku akimkuta mkewe na mwanaume mwingine atachinja mtu! that sense of being a man! imagination ya kile sasa ninachomfanyia mwanamke (hakuna kibaya hapo usitafsiri kwamba tunawafanyia kibaya) ila ah nikieleza zaidi labda utaboreka zaidi Lizzy basi ningekuwa mwanamke ninge pray hard niwe MWANAUME
 
acha dharau mwanaume wewe....kwani wanawake ndo hawawapumulii nyie?!au wanaume tu ndo wenye pumzi?!mijitu mingine inaboa...kama kua mwanamke ni kitu kibaya kiasi cha wewe kua negative kuhusu uanamke kiasi hicho usiwe na mwanamke kua na mwanaume mwenzio ambae nae ni kiumbe cha maana kama wewe!!!au ulizaliwa na mwanaume wewe?!

moments like this makes me to like u a lot......
No nonsense woman....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom