Kwa wanasua

nyambari

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
355
171
Kwa wamasuaso napenda kuwatakia maandalizi mema ya mitihani ya mwisho wa mwaka wa masomo 11/12 itakayoanza jumatatu tar 2 july, tumwombe mungu atupiganie tuwe wenye afya na pia tuweze kuyakumbuka yale tuliyosoma. All the best.
 
mida ya kupishana bila kusalimiana hiyo, m2 full kumeza vitini...best wishes, tumepita hapo hapo
 
Hahahaaaa, mnanikumbusha mbali, Sembucheeee na Mkomaaaa. Wale maBVM tukutane kwa Pathology.
 
Back
Top Bottom