Kwa wanasiasa, waandishi wa habari na wana JF

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
Video hii chini nimeangalia na kubaini kuwa inatugusa wote. Bahati mbaya simu hii hii ninayoitumia kuandika ndiyo nilikuwa naitumia kufuatilia mjadala huu.

Kwa walio kwenye PC wanaweza kuandaa maelezo kwa ufupi kwa wale wasio na aksesi na video hii ili wajue nini kinaongelewa.

Nimependa jinsi UN inavyojiandaa kukabiliana na serikali zinazokandamiza vyombo vya habari, waandishi wa habari na tovuti zinazozikosoa serikali hizo.

Video yenyewe ni hii:

UN Live United Nations Webcast - - L.6 Vote, Item:3, 37th Meeting - 21st Regular Session of Human Rights Council
 
Back
Top Bottom