Kwa wanaotaka ajira fuatilia hapa

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
712
331
Salam sana....habarini za wikiendi?

Huki salama, mbeleni mambo yatakua mazuri sana keep updating urself daily. wewe fanya kazi moja tu, gugo neno KWIECO for your details.

Poa.
 
huyu mtu kakurupuka kweli kweli! haeleweki, kama hajaenda shule vile!
 
Hujajipanga, uzi wako na ulichoandika ni tofauti.
Hahahahaaaaa......huyu jamaa kweli hamnazo. Nimekimbia chapchap kwenda kugoogle nikidhani kuna jambo la maana. lo! nikakutana na maandishi ya kichina tupu! Nadhani huo ulikuwa mchanganyiko wa viroba, safari na wanzuki ndio uliomfikisha hapo. acha tusamehe bure.
 
:mod: Huyu jamaa nafikiri ana maralia ya kichwa!! kakurupuka bila kujua cha kupost huku! nadhani ni mgeni kavamia, nami pia kama wenzangu waliotangulia namshauli arudi kule alikokuwa zamani maana huku ni data tupu!!! No data! No right to Speak!!!
 
Hahahahaaaaa......huyu jamaa kweli hamnazo. Nimekimbia chapchap kwenda kugoogle nikidhani kuna jambo la maana. lo! nikakutana na maandishi ya kichina tupu! Nadhani huo ulikuwa mchanganyiko wa viroba, safari na wanzuki ndio uliomfikisha hapo. acha tusamehe bure.
Haswaaaa!
 
Mimi sijaona kosa lake ata kidogo japo wengi mmempiga mawe mimi nimejaribu kugugo nimepata mengi sana
 
Back
Top Bottom