Mwongozo wa ufugaji wa kisasa wa Mbuzi wa nyama na maziwa

Nilifanikiwa kupata mbegu ya mbuzi wanaozaa pacha,nikaona hii ndio mbegu nzuri, mara ya kwanza alizaa pacha nikafurahi sana,mara ya pili amepiga watatu triplets nikamshukuru Mungu, leo nimekwenda kwa yule mzee aliyeniuzia kumpa feedback nikiwa mabega juu kwa kupata triplets, nikashangaa yeye mbuzi wake amezaa watoto watano kwa mkupuo mmoja.

Tamaa mbaya, lakini nimemwomba aniuzie vile vitoto vyote vitano, nasubiri jibu.

Wakuu njooni tufuge. Inalipa, ukienda maonyesho ya wakulima au saba saba ndio utajua nini kinaendelea ktk ulimwengu wa mifugo.
 
Kaka malila habari za siku;

Mi nimefurahi sana na hii kitu na ninakumbuka ulivyoniambia siku ile tulipoonana. wale samaki vipi kaka mabwawa tayari?
umefanya ile taratibu ya kusajili ile miti kule mufindi?

Halafu kaka ukipata mda nenda pale ofisi za UN dsm kitengo cha mazingira wape habari juu ya jitihada zako za kupanda miti kaka kuna pesa palekwa ajili ya project kama hizi.

Tutaonana nikirudi maana niko hadelanda oslo norway kwa hawa waheshimiwa wa ile kampuni yetu. narud tar 26 mwezi huu.

Mungu akutangulie!! hivi mbuzi unawafugia pale mkuranga sio?
 
Kaka malila habari za siku.

Mi nimefurahi sana na hii kitu na ninakumbuka ulivyoniambia siku ile tulipoonana. wale samaki vipi kaka mabwawa tayari?
umefanya ile taratibu ya kusajili ile miti kule Mufindi?

Halafu kaka ukipata mda nenda pale ofisi za UN dsm kitengo cha mazingira wape habari juu ya jitihada zako za kupanda miti kaka kuna pesa palekwa ajili ya project kama hizi.

Tutaonana nikirudi maana niko hadelanda oslo norway kwa hawa waheshimiwa wa ile kampuni yetu. narud tar 26 mwezi huu.

Mungu akutangulie!! hivi mbuzi unawafugia pale mkuranga sio?

Jumapili nilikwenda kuwavua ili nione kama wamefikia size kubwa baada ya miezi sita, namshukuru Mungu wamekua na wanafaa kuliwa. Nimechukua clarias 50 toka kinguluira na nimeshawapanda. Nina mabwawa mapya 3 tayri kuweka sato/clarias.

Nimeanza kuomba kibali toka serikali ya kijiji, mkutano umeshafanyika,sasa wanandaa muhitasari wa kikao. Kule Mapanda nasubiri hati za kimila, ziko Iringa.

UN nitakwenda desemba hii bila kusita,nakushukuru kwa kunijulisha na nitakupa feedback mkuu. Mbuzi nawafugia Mkuranga. Nitarudi dar 7desember. Nataka kusajili kampuni ya misitu,unaonaje mkuu?
 
Ufugaji mkubwa kwa Dar naona inakua ghali kutokana na swala zima la nafasi ila kwa wenye eneo kubwa la kutosha au kwa mikoani ambapo hata upatikanaji wa malisho si mgumu ni wazo zuri:nono:
 
Nilifanikiwa kupata mbegu ya mbuzi wanaozaa pacha,nikaona hii ndio mbegu nzuri, mara ya kwanza alizaa pacha nikafurahi sana,mara ya pili amepiga watatu triplets nikamshukuru Mungu, leo nimekwenda kwa yule mzee aliyeniuzia kumpa feedback nikiwa mabega juu kwa kupata triplets, nikashangaa yeye mbuzi wake amezaa watoto watano kwa mkupuo mmoja.

Tamaa mbaya,lakini nimemwomba aniuzie vile vitoto vyote vitano,nasubiri jibu.

Wakuu njooni tufuge. Inalipa,ukienda maonyesho ya wakulima au saba saba ndio utajua nini kinaendelea ktk ulimwengu wa mifugo.

Kaka Malila nikupate wapi nami uniuzie hao mbuzi, hata wawili nami nipate kianzio?
 
Kaka Malila nikupate wapi nami uniuzie hao mbuzi, hata wawili nami nipate kianzio?

Hapa hapa jf, ukiweza ni-pm nikupe contact.
Nafanya utaratibu wa kuwachukua mbuzi wengi ili niwalete dar, niwarutubishe na madume bora ya SUA/Kongwa nipate kizazi bora zaidi. Wewe unataka mbuzi wa nyama au wa maziwa? Kama ni mbuzi wa nyama hawana shida kukufanyia mipango ili uwapate. Nadhani unataka kuwafuga pia. Mbuzi wa maziwa wa mbegu wapo Mbezi Makabe dar kwa mzee mmoja hivi,hawa bei iko juu kidogo.
 
hello wapendwa! yaani nashukuru sana kwa kunifumbua macho, mimi ni mmoja wa professionals(ACCOUNTANT) ambaye nilikua nang'ang'ania kutafuta kazi kwa mwaka wa tatu sasa bila mafanikio, leo nimepata wazo jipya la ufugaji. nikipata mtaji ntaanza mdogomdgo.
 
Dah nisipofuga mwaka huu ntaumwa maana jf imenifunza mengi. Naanza na kuku wa kula
 
kama upo dar nenda pale mandela rd just after tazara area ,kuna wizara husika watakupa ushauri mzuri wa mbegu bora ya ng'ombe wa maziwa,na pia how to's za kufuga,ila fahamu kufugia cows in dar ni gharama sana na inachukua muda wako mkubwa,kwani majani ni ya kununua ,bora ufugie mkoa wa pwani,eg kibaha,chalinze ,or mkuranga, siyo mbali sana na dar and u can transport maziwa yako kila siku kuliko kufugia dar na kuwa na headache ya malicho ya hao wanyama
'one fo ze rooooooodddd'!!!!
 
Kweli nimeamini " OLD IS GOLD" Huu uzi bado una manufaa makubwa. Malila Tunaomba utupe mrejesho wa mambo yafuatayo:
  1. Mbuzi wa maziwa pamoja na uzao wake, unaendeleaje? tuliopo Dar tutapataje hiyo mbegu?
  2. Bwawa la samaki na lenyewe vp?
  3. Safari ya kule morogoro imefikia wapi ili tuanze kujiandaa mapema?
Asante sana kaka, kila nisomapo michango yangu huwa nina farijika sana. Na sababu ni kwamba hii platform ya bwana Max inatuwezesha kupata information zenye thamani kubwa bila taabu yeyote.
 
kama kuna wanaopenda kufuga wanyama hasa mbuzi ( wa maziwa,nyama),njooni tuunganishe nguvu tufanye mambo.inawezekana kabisa tukafuga kwa mafanikio sana. Kila kitu kipo ndani ya uwezo wetu.

I believe together we can go.

Mkuu safi sana, kuna dvd moja hivi ya shirika la farm africa inahusu ufugaji wa mbuzi wa mbuzi wa maziwa ngoja niifanyie mpango nita watumia humu
 
mkuu malila. .., nimefuatilia badizzo Arusha kama ulivyo hitaji itatumwa soon na hii itakuwa free for use to any jf member who wishes to use it. ... starting from you

tupo pamoja jf
 
mkuu malila. .., nimefuatilia badizzo Arusha kama ulivyo hitaji itatumwa soon na hii itakuwa free for use to any jf member who wishes to use it. ... starting from you

tupo pamoja jf

LAT ahsante kwa initiative yako!
 
  • Thanks
Reactions: LAT
mkuu malila. .., nimefuatilia badizzo Arusha kama ulivyo hitaji itatumwa soon na hii itakuwa free for use to any jf member who wishes to use it. ... starting from you

tupo pamoja jf

Tabia ya kujali wengine kama hivi inapaswa kutiwa moyo. Ubarikiwe sana mkuu LAT.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Kaka, kwa ufupi.

Ng'ombe wanaofaa ukanda wa joto ni wale wasio na rangi nyeusi. pili uchague aina kulingana na outcome unataka nini mwisho wa siku (beef,diary, dual).

Kuna aina wanaitwa Ayrshire wanaweza kustahimili maisha ya pwani(coastal belt) na magonjwa yake. unatakuwa upate kizazi cha pili na cha tatu ikienda cha nne au pure breed uekwama kuna ugonjwa unaitwa ECF (east cost Fever) lazima ukutoe.
Uzuri wa breed hii unaweza kwenda mpaka 15Lts na butter fat content ikiwa 3.

The best ni breed inaitwa jersey kikubwa anahitaji eneo dogo,chakula kidogo pia anaweza kustawi pwani.kanuni ileile usiende kizazi cha nne.
hawa ni maziwa yenye thamani kubwa ila volume ndogo, kwa wahuni tuna wa kross jike la ayshire na dume la jersey matokeo yake hatta kwa 2M sikuuzii ila akiwa jike.

Kuna breed nyingine wanaitwa kitukama simentor(Dual) hawa ni maziwa na nyama, wastani wa lita 8, chakula kibao ila sometimes wana ishu ya kubeba mimba baada ya mzao wa kwanza(hapo uwe mvumilivu una weza chukua mwaka kumpandisha).

Breed zingine mapambo ya kimasai, karibu shamba
 
Somo zuri sana hili

Mkuu, kuna breed ina happen ng'ombe wanakuwa hawana mapembe, je inawezekana ku cross breed au hua ni bahati tu kutokea?
 
Mkuu malila, nimefuatilia badizzo Arusha kama ulivyo hitaji itatumwa soon na hii itakuwa free for use to any jf member who wishes to use it. ... starting from you

tupo pamoja jf

Mkuu nikushukuru sana.

Nimechelewa kujibu kwa sababu niko huku Tanzagiza.Niko na vijana shambani siku nne mfululizo, kwa sababu msimu uko mlangoni, nimeingia mjini mara moja ndio nimekuta hii kitu. Mkuu ubarikiwe sana.Nikirudi dar toka shambani huku nitakutafuta japo dakika mbili tuongee mawili matatu.
 
Kweli nimeamini " OLD IS GOLD" Huu uzi bado una manufaa makubwa. Malila Tunaomba utupe mrejesho wa mambo yafuatayo:
  1. Mbuzi wa maziwa pamoja na uzao wake, unaendeleaje? tuliopo Dar tutapataje hiyo mbegu?
  2. Bwawa la samaki na lenyewe vp?
  3. Safari ya kule morogoro imefikia wapi ili tuanze kujiandaa mapema?
Asante sana kaka, kila nisomapo michango yangu huwa nina farijika sana. Na sababu ni kwamba hii platform ya bwana Max inatuwezesha kupata information zenye thamani kubwa bila taabu yeyote.
Mkuu salama,

Mbuzi mambo safi sana, namshukuru LAT kwa msaada wa Badizzo. Nina vibeberu kibao vya kisasa. Nishaanza kuuza mbegu. Mbuzi wa maziwa wapo Mbezi Makabe na wanazaa pacha bila taabu, juzi nimenunua wawili, ni 150,000/ kila mmoja. Bado sita kwa yule mzee. Kwa sasa nafanya upanuzi na uboreshaji wa fish ponds,kwa upande wa tilapia walifika market size ndani ya miezi sita,japo niliwaweka ktk mazingira magumu sana.

Uchimbaji unaendelea, na African catfish nitawaweka pond ya peke yao ili na wao nione kama watafikia market size ndani ya muda wa kitalaam.Hivi ninavyo andika niko Iringa mjini, nilifuata vifaa vya shamba, msimu unapiga honi, ninataka kuhakikisha tunapiga bao. Nikirudi dar nitakujulisha, ila ni kipindi cha november ndio tutafanya safari hiyo.
 
Back
Top Bottom