Kwa wanaopenda movies kama mimi!

una sopranos series????

movies za denzel???

the goodfellas?
the godfather????

Una taste za kitaliano bro ...I can see even from your name."The Boss"

Hizo movie nimeona zote .
Series za The sopranos kama mtu ana internet yenye speed anaweza ku watch youtube

The godfather is the best of all time kwa wanaopenda movie of that kind.Ziko tatu umeona zote?
 
hakuna kinachoshindikana labda kama huko mbali ulipo ni mbinguni.
Hapana sipo mbinguni, ila umbali tuliokuwa nao, ni vigumu kubadilishana movies labda kwa kuzi burn kwenye dvds na kutumiana, njia nyingine ni kuwa na torrents zaidi ya hapo labda muwe mnaishi maeneo ya karibu.
 
Una taste za kitaliano bro ...I can see even from your name."The Boss"

Hizo movie nimeona zote .
Series za The sopranos kama mtu ana internet yenye speed anaweza ku watch youtube

The godfather is the best of all time kwa wanaopenda movie of that kind.Ziko tatu umeona zote?

thanx
nitajaribu na you tube..
 
Huna budi kuziona ndugu start with godfather ni ya miaka ya sabini director Fred Coppola ,based on novel of Mario Puzzo .

mimi zimeziona zote za godfather..

je wewe umeiona
the sicilian????
 
Tafuta bonnano the godfather story

halafu tafuta the valachi's paper
 
Zipo nyingi,na co muv tu,hata series kama nikita,vampire diaries,the event,kyle xy,human target,legend of the seeker nafuatilia,and kuhusu movies napenda sana action movies,comedy na hata za kutisha pia but nikifulia huwa naangalia haa muv za story,n muv ninazozipenda sana ktk library yangu zipo nyingi sana but ngoja nitje kumi tu kama ulivyouliza,
1.season of the witch
2.the a team
3.The losers
4.Takers
5.killers
6.faster
7.the green hornet
8.Saw VII-The Final Chapter
9.salt
10.Prince Of Persia

great collection.
 
Hapo sina 1, 6, 7 na 8!
Library yangu ina 200+ muvies
just a few:
1. Body armour,
2. Armoured,
3. Big Stan (Repack)
4. Redline
5. Expendables
6. Unstopable
7. XIII Conspiracy
8. From Paris with Love
9. Jack hunter
10. Hitman
11. Sharpshooter
12. The Mariner
14. Ninja Assasin
.......

Niko Dar, kama vipi niPM tufanye exchange mazee!
 
Nimesha ku PM mkuu!
 
una sopranos series????

movies za denzel???

the goodfellas?
the godfather????
mimi nina movies kadhaa za denzel na nina sopranos, godfather, roots, supernatural, kyle X, desperate housewives, Victory (V), lost, prison break, 24 na zingine series (namaanisha all seasons) ila hata mimi siishi Dar, nakuja kila baada ya miezi 3. if you PM me nitajiandaa nikuletee in may nitakapo pita hapo.
 
sometimes in april,
hoteli rwanda,
godizila,
jurasic park,
fast and furious,
death race,
naked weapon,
the heroic trio,
the touch,
twins mission,
house of fury,
dangerous flower,
the machine girl,
snake island,
viper,
snake on a plane,
hydra,
vipi hizo unazo hizo mkuu?
 
sometimes in april,
hoteli rwanda,
godizila,
jurasic park,
fast and furious,
death race,
naked weapon,
the heroic trio,
the touch,
twins mission,
house of fury,
dangerous flower,
the machine girl,
snake island,
viper,
snake on a plane,
hydra,
vipi hizo unazo hizo mkuu?

Hiyo kwenye blue ni nzuri mno kuliko Hotel Rwanda
 
Kuna haja ya kuanzisha JF books and movies club,iwe formal kabisa na meeting day na venues zipangwe.Got too many movies hata siwezi kumaliza kuangalia zote.Would like to get some from u guys
 
Mkuu kwa bahati ghafi upo mbali sana na ninapoishi mimi...! Ungekuwa jirani na mimi nadhani unge-enjoy sana, maana library yangu si kubwa sana ila nina movies zaidi ya 1500 plus...! Na kila kukicha inazidi kuongezeka ukubwa... Kuna documentaries, kids movies, animation just taja jina...!

Kungekuwa na uwezekano wa JF kuwa na torrent, tungeweza ku-share vitu vingi sana, si movies tu hata programs na ebooks, lakini sidhani kama inawezekana.
Hapo pekundu ndio umeniua kabisa loh ,pia napenda za Mafia(Sicily family),za wazungu wa unga,na zile za longi za watu wa Texas wachunga ng'ombe far far west,huziita za makaboi teh teh
 
Kuna haja ya kuanzisha JF books and movies club,iwe formal kabisa na meeting day na venues zipangwe.Got too many movies hata siwezi kumaliza kuangalia zote.Would like to get some from u guys
Nakuunga mkono
 
ehh jaman wewe kaka
naomba movie wewe
mi sina nyingi bt i do like movies so plsssss....ntakuchek...NAPENDA ZA STOR SPEND ZA ACTION..
km vp ntakupm nikupe contact
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom