kwa wanaopenda kufanya kazi un ingieni link hiyo hapo

hii picha ya kingwendu kama ya mdudu fulani hivi, duh, inakera kuangalia.
 
UN Mara nyingi hupenda kufanya kazi kwenye nchi tata man maana kazi zao kubwa ni community services,kusimamia misaada na peace

Tena na Risk Allowance utakayopata nayo inakuwa ni ndefu.. Mfano nina mshikaji anapiga kazi hapo Congo kwa Kabila anakula Risk allowance ya 20M hyio ni Out of Salary
 
Hellow, i just read your status and i would like you to tell me what kinda qualifications do i need in so to get job in u.n hope to recieve a positive reply. Thanks.
 
Hivi kuna yeyote hapa aliyefanikiwa kushinda green card ya mwaka jana. Rafiki yangu Mghana kanipigia jana kapata green card kafurahi sana. Nasikia miaka ya karibuni idadi ya Wabongo waliofanikiwa kushinda bahati nasibu ya green card imekuwa ikiongezeka.
 
Back
Top Bottom