kwa wanaopenda kufanya kazi un ingieni link hiyo hapo

ni vizuri ukachagua afrika hasa kwa nchi majirani zetu!kuliko kuomba mbali!
 
ni vizuri ukachagua afrika hasa kwa nchi majirani zetu!kuliko kuomba mbali!
we ccm nini untengeneza katiba unalazimisha tena tufanye unavyotaka wape ka uhuru kdgo jmani afghanistan sudan pesa nje nje
 
we ccm nini untengeneza katiba unalazimisha tena tufanye unavyotaka wape ka uhuru kdgo jmani afghanistan sudan pesa nje nje

hahhahaaaaaaaaaaaaaaaaa nimekusoma kwani cm ndio wana tabia hizo
 
Thanks Kilimasera. ''Ubaya'' wa hawa jamaa, kama huna Masters, chance ya kukamata job ni finyu sana au haipo kabisa

True kabisa, ila sisemi msijaribu lakini pia mjue Lucky=preparations+opportunity kwa hiyo kama huna mastaz kasome kwanza,pia wanapenda sana ujue na lugha moja hivi extra, french,kiarabu n.k
 
true kabisa, ila sisemi msijaribu lakini pia mjue lucky=preparations+opportunity kwa hiyo kama huna mastaz kasome kwanza,pia wanapenda sana ujue na lugha moja hivi extra, french,kiarabu n.k

na kichaga zaidi
jitahdini
msome mkijue
 
ila nchi zake TATA
AFGHA/KUWAIT/IRAN/IRAX/MADAGASCAR/IVORYCOAST/SOMALIA/NAONA TUNISIA NAO WAMEINGIZWA MMH MOLA TUSAIDIE NA MAKARATASI YETU KAZI TUNAZIPENDA ILA UHAI ZAIDI
 
UN Mara nyingi hupenda kufanya kazi kwenye nchi tata man maana kazi zao kubwa ni community services,kusimamia misaada na peace
ila nchi zake TATA
AFGHA/KUWAIT/IRAN/IRAX/MADAGASCAR/IVORYCOAST/SOMALIA/NAONA TUNISIA NAO WAMEINGIZWA MMH MOLA TUSAIDIE NA MAKARATASI YETU KAZI TUNAZIPENDA ILA UHAI ZAIDI
 
Back
Top Bottom