Kwa wanaooa mwanamke zaidi ya mmoja!!!!!!!!

Swali:-

  1. Je unapoenda kulala kwa mke mdogo unamuaga vipi mke mkubwa?
  2. Je unamwamini vipi mkeo kama na yeye achakachuliwi uwapo kwa mke mdogo?
  3. Je hivi mkeo akiingiza njemba na kulala nae utamlaumu?
  4. Je ni hatua gani utachukua ukikuta mkeo anachakachuliwa?
  5. Je kuna ubaya gani kama mkeo na yeye atakuaga kuwa anaenda kuchakachuliwa?
MY TAKE:- MLA VYA WENZAKE NAE VYAKE HULIWA!!!!!!!!:embarrassed:

si lazima kama una mke zaidi ya mmoja watu wakuchakachulie. Kuna wanawake ni waaminifu na hawajawahi kuchakachuliwa nje ya ndoa zao.
 
hapo wanaume wanakuwa mbogo, swali la pili nimelipenda sana kwamba wawe wanajiuliza especial wale wa kristo ambao ni mke mmoja mpaka kifo
:A S 20:
 
Nadhani mnashindwa kuelewa jambo moja. Wakati mnafunga ndoa iwe kanisani, bomani au kwa shehe, kile cheti kuna sehemu wameandika, Je ni ndoa ya mke mmoja au wake wengi? haijaandikwa, Je ni ndoa ya mume mmoja au waume wengi? Mke na mume wote wanadelete sehemu isiyotakiwa. Kama wewe mwanamke unakubali mwenyewe ndoa ya wake wengi, sasa tatizo ni nini? Kama hukubali basi pale pale, andika ndoa ya mke mmoja tu! tatizo inawezekana wanawake wengi sijui ni kimuhemuhe cha kuolewa, wao wanadelete tu bila kujali, halafu jamaa akija nataka kuoa wa pili unakuja juu!
 
Yaaani aniage anakwenda kuliwa na mume mwingine? Weeeeeeeeeeeh patachimbika hapo. ila mimi nikienda kwa bi-mdogo yeye anapaswa anisubiri hadi nirudi, kama atataka kumegwa naye nitammega pia! Ninapokwenda kumla mwingine, yeye nampa nafasi ya kufanya mazoezi ili nikirudi nipate kitu roho inapenda!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
 
Swali:-

  1. Je unapoenda kulala kwa mke mdogo unamuaga vipi mke mkubwa?
  2. Je unamwamini vipi mkeo kama na yeye achakachuliwi uwapo kwa mke mdogo?
  3. Je hivi mkeo akiingiza njemba na kulala nae utamlaumu?
  4. Je ni hatua gani utachukua ukikuta mkeo anachakachuliwa?
  5. Je kuna ubaya gani kama mkeo na yeye atakuaga kuwa anaenda kuchakachuliwa?
MY TAKE:- MLA VYA WENZAKE NAE VYAKE HULIWA!!!!!!!!:embarrassed:

MAJIBU
Q 1. Namwambia naenda kulala kwa mke mdogo (coz atakua anafahamu kama swali lako ninavyojieleza)
q.2 Inahitaji ujasiri wa hali ya juu kwa mwanaume kumfuata mke wa mtu ndani kwake, kwa hiyo mazoea ya kusema naenda kwa mke mdogo na kwenda sehemu na kurudi yatamwogopesha hatatoka coz atafikri narudi home.

q3. Nitamlaumu kama nikimkamata, ila kama cjamkamata au cjui nitamlaumu kivipi? coz yeye aliniruhusu kuoa mke mdogo, mimi cjamruhusu achukuliwe na njemba
q4. Jino kwa jino, na huyo njemba unamchakachua mbele ya mke wako
q5. Hakuna ubaya kama tukiongea tukakubaliana ila c ndiyo hatarudi tena kwangu boss!!
 
Na nafikiri wakiwa hawapataki mwanaume mambo yake yanaenda murua, ila wakipatana yeye mashakani!

Dina, Hapo kweli, rafiki yangu mmoja ana wake wawili na kimwana kando, yeye hufanya juu chini hawa wake zake wasipatane, hawasemi. Sasa akienda nyumba kwa kimwana Bi mkubwa hawezi kumpigia Bi mdogo kuuliza kama Mzee yuko huko, na Bi mdogo vilevile hawezi uliza mke mwenza............., akirudi siku ya pili asema; si nilikuwa kwa mamake naniiii......
 
Back
Top Bottom