Kwa wanaooa mwanamke zaidi ya mmoja!!!!!!!!

Digaller

JF-Expert Member
Oct 20, 2009
745
427
Swali:-

  1. Je unapoenda kulala kwa mke mdogo unamuaga vipi mke mkubwa?
  2. Je unamwamini vipi mkeo kama na yeye achakachuliwi uwapo kwa mke mdogo?
  3. Je hivi mkeo akiingiza njemba na kulala nae utamlaumu?
  4. Je ni hatua gani utachukua ukikuta mkeo anachakachuliwa?
  5. Je kuna ubaya gani kama mkeo na yeye atakuaga kuwa anaenda kuchakachuliwa?
MY TAKE:- MLA VYA WENZAKE NAE VYAKE HULIWA!!!!!!!!:embarrassed:
 
mmmh.ninawafahamu wake wenza fulani,wanaelewana ajabu,na huwezi kuwaingilia kwenye ndoa yao.ila wanaoelewana ni wachache mno.maybe w.me mjibu hilo swali,maana wengine huoa kwa kuficha
 
Wanaume wengi wenye wake wawili wanapenda wasipatane ili competition yake yeye ndio anafaidi matunda.
 
Hhahahahhahah uke wenza heshima kwa mwanaume mateso kwa wanawake:coffee:
 
Punguza ukali wa maneno ooohho utafanya watu wafe na presha humu.

Swali:-

  1. Je unapoenda kulala kwa mke mdogo unamuaga vipi mke mkubwa?
  2. Je unamwamini vipi mkeo kama na yeye achakachuliwi uwapo kwa mke mdogo?
  3. Je hivi mkeo akiingiza njemba na kulala nae utamlaumu?
  4. Je ni hatua gani utachukua ukikuta mkeo anachakachuliwa?
  5. Je kuna ubaya gani kama mkeo na yeye atakuaga kuwa anaenda kuchakachuliwa?
MY TAKE:- MLA VYA WENZAKE NAE VYAKE HULIWA!!!!!!!!:embarrassed:
 
mmmh.ninawafahamu wake wenza fulani,wanaelewana ajabu,na huwezi kuwaingilia kwenye ndoa yao.ila wanaoelewana ni wachache mno.maybe w.me mjibu hilo swali,maana wengine huoa kwa kuficha

Unajua kuna muda tunatakiwa kuwa fair sisi wanaume, Kitu cha kujiuliza ni kwamba Je kama mkeo akikuomba awe na mabwana wawili or zaidi utakubali?:thinking:
 
mmmh.ninawafahamu wake wenza fulani,wanaelewana ajabu,na huwezi kuwaingilia kwenye ndoa yao.ila wanaoelewana ni wachache mno.maybe w.me mjibu hilo swali,maana wengine huoa kwa kuficha

Thankx mkuu ila kwa utafiti wangu nliofanya nimegundua kuwa wake wenza wengi hawapatani.
 
Punguza ukali wa maneno ooohho utafanya watu wafe na presha humu.

Kama unakula vya wanakula vya wenzao nao vyao huliwa. afu hii tabia si nzuri kwa kizazi hiki ambacho kimekubwa na magonjwa ya ajabu.
 
Thankx mkuu ila kwa utafiti wangu nliofanya nimegundua kuwa wake wenza wengi hawapatani.

Na nafikiri wakiwa hawapataki mwanaume mambo yake yanaenda murua, ila wakipatana yeye mashakani!
 
Swali:-
  1. Je unapoenda kulala kwa mke mdogo unamuaga vipi mke mkubwa?
  2. Je unamwamini vipi mkeo kama na yeye achakachuliwi uwapo kwa mke mdogo?
  3. Je hivi mkeo akiingiza njemba na kulala nae utamlaumu?
  4. Je ni hatua gani utachukua ukikuta mkeo anachakachuliwa?
  5. Je kuna ubaya gani kama mkeo na yeye atakuaga kuwa anaenda kuchakachuliwa?
MY TAKE:- MLA VYA WENZAKE NAE VYAKE HULIWA!!!!!!!!:embarrassed:
Hilo swali ungemuuliza baba yako
 
Swali:-

  1. Je unapoenda kulala kwa mke mdogo unamuaga vipi mke mkubwa?
  2. Je unamwamini vipi mkeo kama na yeye achakachuliwi uwapo kwa mke mdogo?
  3. Je hivi mkeo akiingiza njemba na kulala nae utamlaumu?
  4. Je ni hatua gani utachukua ukikuta mkeo anachakachuliwa?
  5. Je kuna ubaya gani kama mkeo na yeye atakuaga kuwa anaenda kuchakachuliwa?

    Aolewe rasmi na Mwwanaume zaidi ya mmoja.....:coffee:
 
Back
Top Bottom