Kwa wanaohitaji software mbalimbali.

manuu

JF-Expert Member
Apr 23, 2009
4,064
10,723
KWA YEYOTE ANAEHITAJI SOFTWARE MBALIMBALI NA KWA BEI POA PLSE TUWASILIANE,NA
SOFTWARE ZIPO ZA KILA AINA MFANO:
1.PAYROLL/SALARY PROCESSING/EMPLOYEE MANAGEMENT.
2.FINANCE ACCOUNTING SYSTEM.
3.INVENTORY MANAGEMENT SYSTEM.
4.BILLING SYSTEM.
5.HOTEL MANAGEMENT.
6.CYBER CAFE MANAGEMENT.
7.SCHOOL MANAGEMENT SYSTEM.
Zipo nyingi sana kwa hivyo kama kuna yeyote anaehitaj au unajua wapi soko lake lipo plse tuwasiliane kwa
namba yangu ya simu ni 0764-691900 au kwa e-mail (maxakyoosy@yahoo.com).
 
kaka niaje mimi nimekuwa natafuta software ya adobe photo element (photo shop) unayo? kama unayo ntawasiliana nawe.
 
huku c sehem ya kufanyia bizwax! Nyie kina mageuz hamjawah kuckia torrent sites...@givenality,alokudanganya wa2 na akl zao hku bongo wananua software ni nan? We mwenyewe umezitoa tpb.org ndo unataka uchakachue wa2?we toa sites wenye shda wadownload!
 
huku c sehem ya kufanyia bizwax! Nyie kina mageuz hamjawah kuckia torrent sites...@givenality,alokudanganya wa2 na akl zao hku bongo wananua software ni nan? We mwenyewe umezitoa tpb.org ndo unataka uchakachue wa2?we toa sites wenye shda wadownload!

Mi nashangaa sijui kwa nini wanashindwa kutofautsha matangazo na technological news.

Kuna forum ya mtangazo madogo madogo. matangazo wekeni huko mnaweza kuwadaka watu .
 
Mkuu mwenye topic nadhani ungewasaidia wakuu bure kabisa maana si zipo hizo kwenye torrent site tena za bure...hapa jamiiforums huwa tunasaidiana kwa kila tatizo na sio kuuziana mkuu....
 
Hizo software ni GENUINE?
Na hao wanaozimiliki wakikujua msambazaji na huna uthibitisho wa reseller utafanyaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom