Kwa wanaohitaji kuolewa

MUNGU AKUSAMEHE.

Mungu anisamehe...ina maana na wewe huna dhambi yoyote ya kusamehewa?Unataka kujifanya malaika eee?

Mijitu inayojifanya mitakatifu minafiki sana,halafu inajitia ina special authority hivi,tenda dhambi lezangu tuu!
 
The reason I love my life is simple. You reside in it,
and you'll stay there forever. If not in person, then as
memories. But you'll stay...
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Hakikisha kabla ya kuolewa uko sawa NA wazazi wako ogopa mzazi akienda KWENYE hall anawaza hiiharusi inaisha saangapi...nikalalezangu
 
KAMA ULISHIRIKI KWA NJIA.MOJA AMA.NYINGINE YA KICHAWI KUMPATA ULIE NAE TUBU HARAKA MAANA BAADA YA NDOA NGUVU ZINAISHA NA UTAHANGAIKA MILELE
 
Sema mungu atusamehe....una usafi gani wewe wa kuniombea msamaha?

Au wewe ni malaika,mdogo wake na Mungu usie na dhambi,mwenye uwezo wa kukoromea wanadamu wengine,unaesikilizwa na mungu tu sisi wengine ni ng'ombe....

Na namba ya simu umeweka kabisa,tukupigie utuombee wewe,tusipopiga mungu hatusaidii?
!
methali...ukisoma ukaelewa ...utajua unaitaji maombi ya kufunga ufunguliwe...wapi kaandika usipoombewa ufanikiwi...embu somen muelewe
 
Mi nadhani MUNGU tu ndiye anaweza kukusaidia kupata mume au mke mwema wengine imani haba halafu wanataka kuombea watu kama IPO IPO tu mwaminini MUNGU
 
Matangazo ya biashara haya muwe mnalipia...
Eti ndio maagizo ya mungu,kaongea na wewe lini?
Mamlaka ya kuandika kwa jeuri hivi umeeyapata wapi wewe mfanyabiashara?
Fanya biashara halali,uza bidhaa ujenge uchumi wa nchi na kodi ulipe sio mnatuletea utapeli hapa,
Kwa kweli Mungu mwenyewe akusamehe,mbona umetoka povuu kama vile wewe ndie Mungu mwenyewe. Acha kumsemea Mungu ni MKUU SANA HAHITAJI MTU KUMTETEA .
 
Aisee hata Mi nahitaji mume maana kwa akili zangu nimeshindwa, wameume za watu wamenisonga tuu, huwa najiuliza hakuna hata aliyesingle?
 
Back
Top Bottom