Kwa wanaohitaji kuolewa

kama wapo kweli na wanahitaji..mimi ni kijana single tafadhari mmoja ani P.M.. niko tayari kutoa mahari na kuendelea... narudia ni P.M.
 
KUMBUKA SIOO WOTE WENYE EMAIL WANA SHIDA ZA NDOA NA WATOTO KAMA LENGO ZURI KUOMBA KWANINI USIWEKE NAMBA HAPA AMA.UWAPIGIE AMA.WAKUTAFUTE

EMAIL ZIMEKOSESHA HATA AJIRA ZA WATU BORA WEKA NO MWENYE IWEZO WAEMAIL.AFANYEHIVYO
SMS 0658 41 74 86 andika jina, muda wa maombi kama tulivyo ainisha
 
Tumejitoa kuwaombea kina dada ambao wanahitaji wachumba wa kuwaoa, tutamuombea tu ambaye yuko serious na anahitaji kweli kutokana na sababu mbali mbali na za msingi anazo zijua yeye. Kama kuna tatizo linalo kufanya usiolewe na unalijua wewe tafadhali tatua kwanza halafu uje tutasali pamoja. anayehitaji atuandikie kwenye email: prayerrequest123431@yahoo.com Jina lake na namba yake tutampigia ili tuombe kwa pamoja. ukituma namba isiyo sahihi na isiyoyakwako tukikukosa hatutarudia kukupigia hakikisha tunapokupigia upo sehem ambazo hazina kelele ili tuwe na muda mzuri wa maombi. tutashukuru kama utatupa namba ya tigo au Vodacom maana itakuwa rahisi kwetu kukupigia.

Tutakupigia simu asubuhi saa 12 au saa 12 jioni huo ni muda mzuri kwetu kupiga simu. kwa wale wasiokuwa na nafasi muda huo huenda watakuwa njiani kwenda kazini au kurudi kazini muda huo basi watakapoandika email au sms wachague muda saa 10,11 alfajiri au saa 3,4 usiku waandike muda.

tunaanza na kuwaombea ambao hawana watoto yani ambao hawajazaa wiki ijayo tutakuwa na ratiba ya kuwaombe hata wale ambao wenye watoto ambao wamesha zaa. Mungu awajibu haja ya mioyo yenu na awape mnacho kihitaji.

SMS 0658 41 74 86 andika jina, muda wa maombi kama tulivyo ainisha hapo juu, usitupe muda tofauti na huo maana hatuna nafasi kwa muda mwingine. (usibip tafadhali) kama unapiga hakikisha una dakika zisizopungua 8 za maombi.

***ASIYE MHUSIKA ASI COMMENT TAFADHALI***

Matangazo ya biashara haya muwe mnalipia...
Eti ndio maagizo ya mungu,kaongea na wewe lini?
Mamlaka ya kuandika kwa jeuri hivi umeeyapata wapi wewe mfanyabiashara?
Fanya biashara halali,uza bidhaa ujenge uchumi wa nchi na kodi ulipe sio mnatuletea utapeli hapa,
 
Matangazo ya biashara haya muwe mnalipia...
Eti ndio maagizo ya mungu,kaongea na wewe lini?
Mamlaka ya kuandika kwa jeuri hivi umeeyapata wapi wewe mfanyabiashara?
Fanya biashara halali,uza bidhaa ujenge uchumi wa nchi na kodi ulipe sio mnatuletea utapeli hapa,
MUNGU AKUSAMEHE.
 
Back
Top Bottom