Kwa wanaoagiza magari kutoka Japan kuweni makini!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Kutokana nakugundulika mionzi ya nyukilia kwenyeshena ya maharage!!!nawatahadhalisha wale wanao agiza magari Japan nibora wawashirikishe idara ya mionzi ya hapa nchini ili wakague magari yote yanayoingizwa ili kujua kama yana mionzi ya nyukilia!!!Kwani inasemeka Radioactive zimesambaa sehemu nyingi ya japan!!
 
Kanini wao ndo wawaombe? kwani Serikali hawalijui hilo na kama ndio kwanini wasiweke watu maalum pale bandarini kwa ajili ya kazi hiyo?.TRA na Bandari kwa ujumla walipaswa kuhakikisha hili linafanyika chini yao,kumbuka mteja ni mfalme.
 
hakuna cha useful info hapo, hiyo mionzi inakaa wapi kwenye gari linakua baharini kwa wiki nne hadi sita,hebu someni kwanza kabla ya kukurupuka, yaani kusikia tu miozi huko japani basi kila kitu mionzi aseee!
 
Radioactive zinakaa mda mrefu ndiyo maana zinawezakukaa seheemu yoyote hata mwaka!!:embarassed2:
 
Kutokana nakugundulika mionzi ya nyukilia kwenyeshena ya maharage!!!nawatahadhalisha wale wanao agiza magari Japan nibora wawashirikishe idara ya mionzi ya hapa nchini ili wakague magari yote yanayoingizwa ili kujua kama yana mionzi ya nyukilia!!!Kwani inasemeka Radioactive zimesambaa sehemu nyingi ya japan!!
...Angalizo zuri though...twaweza kujikuta twaingiza vimeta bongo tukaleta sekeseke lingine wakati haya yetu tuliyonayo bado yanatutoa kamasi....mgao wa umeme, mfumuko wa bei, nauli juu ilimradi ni vurugu mechi tu..Hata huko Japan kwenyewe nasiki spinach na maziwa imegundulika kuwa contaminated na mionzi...
 
Kutokana nakugundulika mionzi ya nyukilia kwenyeshena ya maharage!!!nawatahadhalisha wale wanao agiza magari Japan nibora wawashirikishe idara ya mionzi ya hapa nchini ili wakague magari yote yanayoingizwa ili kujua kama yana mionzi ya nyukilia!!!Kwani inasemeka Radioactive zimesambaa sehemu nyingi ya japan!!

Doh KakaKiiza hayo magari toka japan yanaliwa kama maharagwe???
 
ivi uswe unaijua mionzi kweli! Mionzi inaweza kaa sehemu miaka na miaka! Bw. Kiiza yupo sahihi, ila kama selikali imeshindwa kutatua ishu ya umeme tangu 1992 Ndo watakua na akili ya kushugulikia mionzi??
 
Hayaliwi ila kwakuwa reactor plant zililipuka na Radiation zilitawanyika kwahiyo hata kwenye bandari zilipokuwa hizo gari uwezekano wakuwepo nimkubwa mimi simtaalamu ya nyukilia kama makamo wa Rais ila mimi nilitoa angalizo!!!
 
ivi uswe unaijua mionzi kweli! Mionzi inaweza kaa sehemu miaka na miaka! Bw. Kiiza yupo sahihi, ila kama selikali imeshindwa kutatua ishu ya umeme tangu 1992 Ndo watakua na akili ya kushugulikia mionzi??

hapana salathiel, kama mtu akidhurika madhara yake ndo yanakua miaka kwa miaka lakini ile ni hewa tu kama ikishavuja after few days inapotelea mbali, ni kama tu mtu akijamba si unasikia harufu afu mda unavozidi kwenda ile harufu inaisha, na hizo hewa za nyuklia hivo hivo sema tu zenyewe zikikupata wakati ule zimetoka ndo noma ila zinapotea tu ka mjambo unavopotea
 
wewe vipi mbona mzito kuelewa unamaanisha walizokuta kwenye mbogamboga kule taiwan,Ni hewa??Reactor siyo hewa ipo katika jamii ya White Mecurry ila yenyewe siyo nyeupe!!
 
Kutokana nakugundulika mionzi ya nyukilia kwenyeshena ya maharage!!!nawatahadhalisha wale wanao agiza magari Japan nibora wawashirikishe idara ya mionzi ya hapa nchini ili wakague magari yote yanayoingizwa ili kujua kama yana mionzi ya nyukilia!!!Kwani inasemeka Radioactive zimesambaa sehemu nyingi ya japan!!

Weldone kaka...by the way CCM bado wamelala...na makamu wa rais si kasomea nuclear physics? ila na hilo hakuweza think faster...oh no..wanasumbiri chadema waseme ndio waamke na kweda kupindua hoja(iwe yao, au waikatae kabisa). by the way wanadhani babu atatibu tuu.
 
HONGERA Kakakiiza!
Wazo zuri sana.
Mi nashauri tusiweke mzaha ktk jambo hatari .serekali yetu iweke utaratibu wa kukagua magari kule japan kabla hayajanunuliwa/ kutumwa tanzania. Hatutaweza kukabiliana na athari za nuklia bila kuathi shughuli nyingine muhimu - mf. Vita dhidi ya maleria
 
ivi uswe unaijua mionzi kweli! Mionzi inaweza kaa sehemu miaka na miaka! Bw. Kiiza yupo sahihi, ila kama selikali imeshindwa kutatua ishu ya umeme tangu 1992 Ndo watakua na akili ya kushugulikia mionzi??

Wakati nikiwa mdogo niliambiwa kuwa pale Hiroshima hapataota kitu kwa miaka 75 hivi kwani kulirushwa mionzi hapo. Mwaka 2004 nilipata bahati ya kwenda Japani. Mojawapo ya study tour ilikuwa Hiroshima ni sehemu yenye bustani nzuri sana kuliko sehemu nyingi nilizowahi tembelea, Nimefika pia USA - Pale wanaporusha rokets na SA pia lakini Hiroshima ni kuzuri sana. Kumbuka nilifika pale kwenye target ya washambulizi yaani daraja linaloitwa T - bridge. Hata nyumba pekee iliyobaki baada ya shambulizi niliingia na walisema ni salama kabisa. Hivyo si kweli kuwa mionzi hiyo inakaa miaka na miaka. Kasheshe ni ikikukuta wakati wa kuvuja ndo utajuta, ukiangalia picha za waathirika wa wakati huo ilikuwa balaa watu wanayeyuka kama uji vile, ni hatari lakini ilinifanya kuamini kuwa kweli binadamu wako ktk kundi la wanyama kama biology isemavyo.
Huu ndo mchango wangu ingawa ni muhimu kuchukua tahadhari
 
Back
Top Bottom