Kwa wanao tumia symbian tu!

tumlack

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
675
49
jaman kuna hiz apps napenda mzitafute..GRAVITY na SOCIALLY ni bonge za apps kwa socialy network..yaan kali kam computer
 
icheck mwenyewe kwa ku *#7370# ikirespond chochote ni symbian

Hahahahaah we uliye ambiwa ubonyeze *#7370# usije jarbu utalia hiyo ni code ya ku hard reset .utapoteza vitu vyao vyote kama simu yak ikikubali kurespond hiyo code
 
kureset si mpaka akubali na kuingiza code kaka
 
siko sure kaka but sharemobile.ro wanakila ki2 kuhusu kila simu.... juc nenda kasearch tu
 
poa socially utaipata google andka m.sociallyapp.com na gravity pia search google utapewa yaan noma
 
icheck mwenyewe kwa ku *#7370# ikirespond chochote ni symbian

kama hujui vitu usiwe na kielele. Inakuwaje unataka kumpotezea mwenzio data zake? Wat humu wanazijua code za nokia zote hivyo ungempa namna nyingine ya kujua na si kumpa code ya hard reset.
 
Mkuu kama kuna wana JF wanao toa code za ku-reset au ku-disable handset za members wengine, basi wachukuliwe hatua kali na Mods, au wafungiwe kabisa- haipendezi kuwa-misread wenzako.
 
hizo cod mpaka ureset simu ni mpaka accept na uingize security code kwani huyo jamaa amemwambia afanye hivyo, yeye si kamwambia aandike hizo namba tu.
 
Back
Top Bottom