kwa wanao tafuta kazi zingatia

christer

Senior Member
Feb 12, 2010
131
39
salaama watu wa Mungu.

napenda kutoa ushauri wa bure kwa job seekers wote jinsi ya kuandika application na Cv zao.

kwanza hakikisha unataja post unayo omba au kama haijatangazwa sema qualification zako katika mstari wa kwanza ili zionekane.
pili katika Cv yako exeperience yako kama unayo, iweke baada ya personal data ili iwe rahisi kumatch na job requirements.achana na mambo ya field kwanza ,labda kama hujawahi kufanya kazi.
tatu panga vyeti vizuri kutegemea na kazi inataka cheti gani mfano Diploma,weka cheti hicho baada ya Cv yako.
ki ukweli kazi ikitangazwa watu wanaomba wengi sana kwahiyo upekuzi wa haraka unatafuta vigezo vilivyotajwa haraka ili kuanza kusoma vizuri. post 10 imagine application 600 utasoma kweli mstari kwa mstari?
mwisho walio soma vyuo vya nje wahakikishe TCU imethibitisha vyeti vyao( kwa elimu ya juu).

Nawatakia siku njema.
 
mkuu unataja vipi hiyo post , au hizo qualifications mstari wa kwanza, kama waweza tuwekee hata sampo ya mfano walau tuweze elewa zaidi plz.
Thanxs in advance
 
mkuu unataja vipi hiyo post , au hizo qualifications mstari wa kwanza, kama waweza tuwekee hata sampo ya mfano walau tuweze elewa zaidi plz.
Thanxs in advance

mfano;APPLICATION FOR THE POST OF ACCOUNTANT ktk head.
i am interested in the above......,i have post graduate diploma in ....................,with 5 years experience in............................
,i have compt knoweledge in ............(.MS) na software nyingine unazojua.

kwa graduate hivyo hivyo sema ulichosoma. siyo mambo am single/married.... i went to x primary then to w secondary na sifa kibao
 
kitu kingine katika job experience inabdi ukishataja kazi uliyofanya na nafasi uliyoshika,basi uweke ni kazi(activities) gani hasa ulizokuwa unafanya
 
mfano;APPLICATION FOR THE POST OF ACCOUNTANT ktk head.
i am interested in the above......,i have post graduate diploma in ....................,with 5 years experience in............................
,i have compt knoweledge in ............(.MS) na software nyingine unazojua.

kwa graduate hivyo hivyo sema ulichosoma. siyo mambo am single/married.... i went to x primary then to w secondary na sifa kibao

duh mkuu safi!
Ila inaonyesha jinsi gani post ya uhasibu ilivyo janga la kitaifa, umeitolea mfano.nukta
 
Tukumbuke kutokujaza maneno mengi yasiyo na msingi kwenye application letter/email. Be brief and straight to the point.
 
Duh! Sante sana mkuu, bt je km ur fresh frm chuo na hujapata experiene na field hukuenda je? Kwny cv utaandika kitu gani sasa? Duh kila sehem experience experience wakati ht selikali haikutupa field cjui 2takua wagen wa nani! Au 2anzishe biashara tu? Mungu atusaidie na hii elim fake ya bongo
 
exprience inatakiwa nayo iwekwe kwenye masomo ya chuo. Ili nayo pia ifundishwe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom