Kwa wanandoa,wapenzi sikia hii!

Asante sana Kiiza. Nilitamani kuanzisha thread kama hii lakini umeniwahi. Sasa jamani hivi kweli kwa nini uwe mtumwa wa simu yako? kamakweli wewe ni mwadilifu mbele ya Mungu wako kwa nini uruhusu upuuzi kwenye maisha yako. Mimi simu yangu ina miiko yake. Kwanza watoto wangu wanapenda kucheza game kwa hiyo sina sms za kijinga ninazotegemea kutoka kwa yeyote. Siku akisahu simu nyumbani haha anarudi hata kazi haendi tena. Nilishapiga marufuku forwaded messages za kijinga ambazo mwanangu akiziona hataelewa mama yake ana maana gani.

Kuna mtu mwingine akipigiwa simu anaruka utafikiri bomu limeshmbulia nyumbani, hujiamini message zikiingia unahaha, simu inakaa vice versa, silent, ukilala unaiweka uvunguni mwa kitanda ili ikiita uiwahi, jamani kwa style hii kweli wewe unaweza fanikiwa kwenye maisha yako? Unajua mara zote wale wanaoweka password kwenye simu zao bila mpangilio waangalie maisha yao yalivyo ya kulenga. Unachokifunga duniani kimefungwa mbinguni, unachokifungua duniani kimefunguliwa mbinnguni.

Kweli wenye tabia hizi ebu badili, mnajitia mikosi ya bure, watoto hawawezi ku-enjoy kuchezea simu yako kwa sababu ya mambo ya kipuuzi. Ooh God! have Mercy. Nashukuru Mungu simu yangu iko wazi.

Tuzidi kuomba mungu jamani, wenye tabia hizi wapumzike sasa hivi uaminifu ni kitu muhiimu sana, ukishindwa kuaminika nyumbani basi ujue hata kazini ualakini ni mkubwa, kuumbuka kuko nje nje ebu kabla hujapatwa na aibu BADILI TABIA LEO.
 
Maisha ni mazuri lakini sikuzote yana mikiki mingi!Ila kuna hili la simu za mikononi a.k.a Mobile!Ukiwa na mpenzi wako ukaona mmefikia hapa Basi Mmoja wene ajaribu kushuka ili mambo yaweze kwenda sawa!
Nongelea hili swala la simu za mikononi a.k.a Mobile!Ikifika Mahali ukaona mwenzi wako Simu inakaa kiganjani ikitoka kiganjani hipo mfuko wa shati au Suruali naunaona imekuwa ni kila siku na ikiachwa lazima inakuwa imezimwa naukiiwasha ina Viro au Password Tambua kunakitu hakiitaji kugundulika nakitu hicho nimwiba mkali katika mapenzi yenu au katika ndoa yenu!!Vilevile kwa akina Mama,Dada ukiona simu Kiganjani ikitoka kiganjani hipo kwenye pochi naikipigwa mko wawili inapuuziwa!na labda ikipigwa msikilizaji anapiga hatua mbili pembeni kuisikiliza kwakisingizio hamsikilizani Jua kunakitu si cha kawaida na nimwiba mkali kwenye mahusiano yenu!!
Tena ogopa watu unaowapigia simu unajibiwa simu hii imezuiwa kwamda!!Au akaunti yako hainafedha yakutosha kukuunganisha na simu hii!Ukiona hivyo ujue simu itaachwa kila mahali kwakuwa wanauhakika hakuna wakumfikia na sms haziwezi kuja!Nazaidi ukiona uliyenaye ukirudi simu utadhani ajapiga simu au kupigiwa tangu asubuhi jua hapo kunakitu!!Machana mwema!!Wana JF hizo nitipu za Simu nya mkononi!!:phone:

KK asante, nitaifanyia kazi....
 
I totally agree with you. Mimi huwa nagombana na hubby kwani akinipigia simu kama nimeshinda home basi sisikii kwani inakuwa chumbani, mimi jikoni. Sina kidumu, wala kibajaji, kwa nini simu nivae shingoni na mikansa hii!

Ila ni kweli aisee mwanume kama ana small house yaani atatamani kwenda na simu bafuni au chooni. Yaani kwa mtu kama mimi ninakugundua in a week. Tena ngoja niwape siri nyingine, wanaume ambao wanatabia ya kuzima simu wakiwa nyumbani basi jua wana vimada. Utakuta mtu anajidai hoo sitaki ofisini wanisumbue, anazima simu. Kumbe pamoja na kutoa masharti kwa kimada kuwa asimpigie simu (atapiga yeye) mwanaume bado anakuwa hana imani na anaofu asije pigiwa simu mbele ya wife. Wengine simu akiwa nayo labda mmekaa kwenye public basi anaweka mezani huku kaifunika ikiita usione jina. Mnaloo! Taabu ya nini?

Sasa wewe nani wa ofisini akutafute usiku au week end. Aaah kwa mwenye mke kama mimi walahi usimpe number yako kimada itakula kwako!

Kuna wengine wao wanasave majina ya kiume kwenye simu, tena ya marafiki zao. Kaazi kweli kweli. Ukikuta mke chizi kama mimi nasave number za rafiki zako wooote aafu naanza kuwapigia one after another. Ndio nimpigie Juma apokee mwanamke umekwisha!

Mme wangu ana kazi, nina wivu mbaya na nina pride hence am not ready to share! Tena niko tayari ndoa ifekuliko ku relax eti najipa moyo niko peke yangu!

QUOTE=Caroline Danzi;1959175]Asante sana Kiiza. Nilitamani kuanzisha thread kama hii lakini umeniwahi. Sasa jamani hivi kweli kwa nini uwe mtumwa wa simu yako? kamakweli wewe ni mwadilifu mbele ya Mungu wako kwa nini uruhusu upuuzi kwenye maisha yako. Mimi simu yangu ina miiko yake. Kwanza watoto wangu wanapenda kucheza game kwa hiyo sina sms za kijinga ninazotegemea kutoka kwa yeyote. Siku akisahu simu nyumbani haha anarudi hata kazi haendi tena. Nilishapiga marufuku forwaded messages za kijinga ambazo mwanangu akiziona hataelewa mama yake ana maana gani.

Kuna mtu mwingine akipigiwa simu anaruka utafikiri bomu limeshmbulia nyumbani, hujiamini message zikiingia unahaha, simu inakaa vice versa, silent, ukilala unaiweka uvunguni mwa kitanda ili ikiita uiwahi, jamani kwa style hii kweli wewe unaweza fanikiwa kwenye maisha yako? Unajua mara zote wale wanaoweka password kwenye simu zao bila mpangilio waangalie maisha yao yalivyo ya kulenga. Unachokifunga duniani kimefungwa mbinguni, unachokifungua duniani kimefunguliwa mbinnguni.

Kweli wenye tabia hizi ebu badili, mnajitia mikosi ya bure, watoto hawawezi ku-enjoy kuchezea simu yako kwa sababu ya mambo ya kipuuzi. Ooh God! have Mercy. Nashukuru Mungu simu yangu iko wazi.

Tuzidi kuomba mungu jamani, wenye tabia hizi wapumzike sasa hivi uaminifu ni kitu muhiimu sana, ukishindwa kuaminika nyumbani basi ujue hata kazini ualakini ni mkubwa, kuumbuka kuko nje nje ebu kabla hujapatwa na aibu BADILI TABIA LEO.[/QUOTE]
 
Tena ukitaka kukamata mtu utamu, basi chukua simu ya mwenza wako afu piga namba zoote. Ukisikia hallo kata maana ukiongea watakushangaa. Ukipiga kutumia simu yako, utashitukiwa na upande wa pili maana nahisi hata vimada wana namba zetu. Wewe twanga na ya mumeo utasikia hallo honey. Weee. Mziki wake. Maana kwenye phone book kasave John ukipiga anapokea mwanamke! I loove spying!
 
Asante sana Kiiza. Nilitamani kuanzisha thread kama hii lakini umeniwahi. Sasa jamani hivi kweli kwa nini uwe mtumwa wa simu yako? kamakweli wewe ni mwadilifu mbele ya Mungu wako kwa nini uruhusu upuuzi kwenye maisha yako. Mimi simu yangu ina miiko yake. Kwanza watoto wangu wanapenda kucheza game kwa hiyo sina sms za kijinga ninazotegemea kutoka kwa yeyote. Siku akisahu simu nyumbani haha anarudi hata kazi haendi tena. Nilishapiga marufuku forwaded messages za kijinga ambazo mwanangu akiziona hataelewa mama yake ana maana gani.

Kuna mtu mwingine akipigiwa simu anaruka utafikiri bomu limeshmbulia nyumbani, hujiamini message zikiingia unahaha, simu inakaa vice versa, silent, ukilala unaiweka uvunguni mwa kitanda ili ikiita uiwahi, jamani kwa style hii kweli wewe unaweza fanikiwa kwenye maisha yako? Unajua mara zote wale wanaoweka password kwenye simu zao bila mpangilio waangalie maisha yao yalivyo ya kulenga. Unachokifunga duniani kimefungwa mbinguni, unachokifungua duniani kimefunguliwa mbinnguni.

Kweli wenye tabia hizi ebu badili, mnajitia mikosi ya bure, watoto hawawezi ku-enjoy kuchezea simu yako kwa sababu ya mambo ya kipuuzi. Ooh God! have Mercy. Nashukuru Mungu simu yangu iko wazi.

Tuzidi kuomba mungu jamani, wenye tabia hizi wapumzike sasa hivi uaminifu ni kitu muhiimu sana, ukishindwa kuaminika nyumbani basi ujue hata kazini ualakini ni mkubwa, kuumbuka kuko nje nje ebu kabla hujapatwa na aibu BADILI TABIA LEO.
Kwakweli hii techinolojia imesababisha mengi hapa duniani nikuomba mungu ili uyashinde!

KK asante, nitaifanyia kazi....
Ila usilifanyie kazi kwa kubeep akipiga ujue patakuwa hapakaliki!1Usiseme ni kk kanipa maujanja hiyo ni juu yako!

I totally agree with you. Mimi huwa nagombana na hubby kwani akinipigia simu kama nimeshinda home basi sisikii kwani inakuwa chumbani, mimi jikoni. Sina kidumu, wala kibajaji, kwa nini simu nivae shingoni na mikansa hii!

Ila ni kweli aisee mwanume kama ana small house yaani atatamani kwenda na simu bafuni au chooni. Yaani kwa mtu kama mimi ninakugundua in a week. Tena ngoja niwape siri nyingine, wanaume ambao wanatabia ya kuzima simu wakiwa nyumbani basi jua wana vimada. Utakuta mtu anajidai hoo sitaki ofisini wanisumbue, anazima simu. Kumbe pamoja na kutoa masharti kwa kimada kuwa asimpigie simu (atapiga yeye) mwanaume bado anakuwa hana imani na anaofu asije pigiwa simu mbele ya wife. Wengine simu akiwa nayo labda mmekaa kwenye public basi anaweka mezani huku kaifunika ikiita usione jina. Mnaloo! Taabu ya nini?

Sasa wewe nani wa ofisini akutafute usiku au week end. Aaah kwa mwenye mke kama mimi walahi usimpe number yako kimada itakula kwako!

Kuna wengine wao wanasave majina ya kiume kwenye simu, tena ya marafiki zao. Kaazi kweli kweli. Ukikuta mke chizi kama mimi nasave number za rafiki zako wooote aafu naanza kuwapigia one after another. Ndio nimpigie Juma apokee mwanamke umekwisha!

Mme wangu ana kazi, nina wivu mbaya na nina pride hence am not ready to share! Tena niko tayari ndoa ifekuliko ku relax eti najipa moyo niko peke yangu!
Tena ukitaka kukamata mtu utamu, basi chukua simu ya mwenza wako afu piga namba zoote. Ukisikia hallo kata maana ukiongea watakushangaa. Ukipiga kutumia simu yako, utashitukiwa na upande wa pili maana nahisi hata vimada wana namba zetu. Wewe twanga na ya mumeo utasikia hallo honey. Weee. Mziki wake. Maana kwenye phone book kasave John ukipiga anapokea mwanamke! I loove spying!
!Umenifrahisha sana na hapo kwenye red!
Jamani hii kitu ipo kivyake hii habari ya simu ninoma!!.Simu ni sisimua!
Asanteni
 
Ila usilifanyie kazi kwa kubeep akipiga ujue patakuwa hapakaliki!1Usiseme ni kk kanipa maujanja hiyo ni juu yako!

Siwezi toa source kabisa usiwe na wasi... Na hayo maujanja nitaifanyia to my level best...
 
ndio maana ikaitwa mobile 4ne,sio landline hyo kwamba kila mtu ana uwezo kupokea,,,,,suala la kusiiana cmu kupekua pekua unatafuta ugonjwa wa moyo kwa nguvu na utaupata pasi shaka
 
sikubaliani na allegations za mtoa mada. sio kweli kuwa kila aendapo mtu na cm maana yake anaficha kitu. wengine ni mazoea ya kujifunza. cm nikitu unachokutana nacho baadae kwenye maisha. ni rahisi kukisahau. kwa hiyo unaji-train kuikumbuka whenever you go ili usije isahau sehemu nayo ikatoweka. kumbuka kwa wengine wetu cm inakuwa na taarifa nyingi sana ambazo ukizipoteza tu ghafla ghafla unarudi nyuma steps kadhaa kimaisha. so sio kweli kuwa kuna jambo unaficha. na hata hivyo ungependa kuchunguza simu ya mwenza wako ili iweje?
Wengine huwa wanaficha kweli ila kwa nini ujitafutia karaha uanze kuchunguza vitu ambavo ukivigundua vinakuharibia mood yote. kama vipo vitajitokeza tu hakuna marefu yasiyo na ncha
 
kuna jamaa yangu mmoja yuko smart na matumizi yake ya simu. 24/7 utakuta inbox empty, sent item empty, draft empty, na outbox empty. Siku moja mpenzi wake ikabidi amuulizez hivi. Hivi baby wewe huwa hutumiwagi meseji na wala hutumagi kabisa meseji. Jamaa akamuwakia kishenzizzzzz???? Unachotafuta huko ni nini?? Utakufa bure na mapresha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom