Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 82,079
- 158,856
Not real, I'm only tryna to be nice to you, for the sake of our old memories
Old memories? Hmm! Alright.
:what::banghead:
Not real, I'm only tryna to be nice to you, for the sake of our old memories
Old memories? Hmm! Alright.
:what::banghead:
Mfyuuu unatamaniiiii Iwe kweli
Nini kiwe kweli? Mbona kujistukia kwingiiiii, mwanamke unapenda shari wewe khaaaah!!
Kilichokufanya utoe mimacho hapo juu kama mchezaji alokosa penati ni nini?
Ungeuliza sasa kabla haujaanza kujistukia, duuuh hiyo ya mchezaji alokosa penalt umenikumbusha mbaaali nikabaki nacheka tu!
Teh haya assume nimeuliza, so nipe tu hilo jibu. Haha chezea gutambi
Jibu lishayeyuka maana sio kwa kuniparamia huku na gutambi gwako.
Hivi tu kawaida sana hata kwenye normal safari tunabeba.
Asante kuwakumbusha don't care.
....hilo somo n kwa mabikra tu...ndoa za ckuiz watu washalana saaana na mtoto juu...sasa lubricant za nn hapo