kwa wanandoa tu..

olele

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
1,303
1,559
Hi wana jf, juzi wakati nasoma my bible niligundua kitu cha ajabu kweli
Adam kwa mara ya kwanza alipoamka usingizini akakuta ameumbiwa mwanamke pembeni yake akasema “ huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu”… basi ataitwa mwanamke” (mwanzo 2:23) but baada ya kufanya makosa ya kula tunda baada ya kudanganywa na nyoka unajua adam alivyomuita? (Mwanzo 2:20) Adam akamwita mkewe jina lake HAWA kwa kuwa yeye ndiye aliye MAMA yao wote walio hai”. Ni hivi hakumuona tena kama alivyomuona mwanzo “mfupa wake, nyama yake, mwanamke wake, ee mrembo wake nk. Bali akaanza kumuona kama mama, mzazi, kazi yake ni kuzaa.

Nimewahi kuwasikia wanaume wengi wakiwaita wake zao “MAMA” hata pia wanawake wanawaita waume zao “BABA” ni kipindi gani katika ndoa unaanza kumuona mke/mume wako baba au mama, na kwa sababu gani anaanza kuwa hivyo?, je ni sawa? Ni aina fulani ya heshima? Unajisikiaje wewe ukiitwa hivyo?

mawazo yenu yanahitajika sana.
 
Ukisoma bible unatakiwa kuomba msaada wa roho mtakatifu,anyweiz nisiingie huko sana but kuna sababu nyingi,Mume wangu ananiita jina langu alwaz,na mm namuita BBY,tatizo lilikuja mtoto we2 alipokuwa mdogo nae akawa anamuita babake BBY,so ikabidi nibadilishe ili kumfundisha mtoto,so nikaanza kumuita mume wangu,DADDY.
 
Mke akishazaa, halafu nikaanza kufanya kama navyofanya kwenye avatar yangu
naanza kumwita mama.

Ni raha kunyonya hotel ya mkeo.
 
Mke akishazaa, halafu nikaanza kufanya kama navyofanya kwenye avatar yangu
naanza kumwita mama.

Ni raha kunyonya hotel ya mkeo.

Kazi kweli kweli...chezeya hoteli sasa...utaita majina yote....lol:washing:
 
Ukisoma bible unatakiwa kuomba msaada wa roho mtakatifu,anyweiz nisiingie huko sana but kuna sababu nyingi,Mume wangu ananiita jina langu alwaz,na mm namuita BBY,tatizo lilikuja mtoto we2 alipokuwa mdogo nae akawa anamuita babake BBY,so ikabidi nibadilishe ili kumfundisha mtoto,so nikaanza kumuita mume wangu,DADDY.

pearl nakuhakikishia sikuisoma kiju juu na ni mara nyingi sana nimesoma hiyo sehemu lakni sikugundua, jaribu kusoma kwa
kutaka kujua uone, kuna kitu kimejificha,
 
Back
Top Bottom