Na labda kwa kumbukumbu niseme swala hili lipo chini ya sheria ya ndoa ya 1971 na ya mwenendo wa makosa ya jinai ya mwaka 1966
Hizi sheria unazosema ni za nchi gani mkuu,unaweza kunisaidia relevant provisions.,pia unijibu maswali haya.....sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai inahusikaje kwenye masuala ya kunyimana unyumba?....unawezaje ku-execute decree of restitution of conjugal rights kwa mujibu Civil Procedure Act?.

kuna raha gani kuifuata mahakamani hii haki?
Atakuvalia shanga kweli au kukuvibrate?
vitu vingine ni vya kutumia busara tu... kama uliyenae hataki kutoa ushirikiano kuna maelfu wengine wanasubiri ukonyeze tu ulambwe mpaka mtandao wa Goti
OK ni kweli ndoa zina mambo. Ila kwenda mahakamani ni zaidi. Wengi wanaofanya hivyo wanakuwa wanawatega wenzi wao; yaani anaweka kianzio. Kwa mfano siku akienda kudai talaka, tayari alishafungua kesi ya kudai unyumba huko nyuma; akisema sababu ya kudai talaka ni hii, basi inakuwa rahisi kwa mahakama kuamua.
Mtu haendi mahakamani ikiwa lengo ni kupata haki hiyo tuuu! Lazima kuna kitu anataka kikae sawa ili kingine kifuate. Kuachana mara nyingi kunafanywa kugumu na mambo ya mali. Mahakama mara nyingi humpa upendeleo yule ambaye itathibitika kaonewa kwenye mgogoro. Mtu kwenda mahakama mara nyingi inakuwa ni kuthibitisha kuwa anaonewa ili siku akiamua kuvunja mahakama impe upendeleo kwa kuwa ameonewa.
Hizo ndo mantiki za kwenda mahakamani kudai haki ya ndoa. Kinachodaiwa mara nyingi si haki hiyo. Ni huruma ya mahakama, siku itakapotoa maamuzi ya kugawa mali impendelee huyo aliyeonewa.