Kwa wanafunzi wanaosoma nje kuingiza gari.

UKI

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
691
172
Wadau kuna mdogo wangu yupo uk amemaliza masomo yake anatarajia kuja na gari ambayo alikuwa anaitumia alipokuwa huko sasa nauliza ile sheria ya msamaha wa ushuru kwa wanafunzi bado upo au umeshafutwa mwaka huko home? please wadau naomba msaada wenu kabla hajafanya maamuzi.
 
sheria ya mwanzo ilikuwa inatoa msamaha iwapo unmetumia bidhaa kwa mwaka mmoja au zaidi lkn mwaka jana/juzi sheria hiyo imerekebishwa na kuwa miaka 4 kwenda mbele. Kama umetumia kwa mika 4 hamna shida cha muhimu uwe na nyaraka zote muhimu, yataka moyo kwa urasimu wetu!
 
Hyo sheria walijiwekea inufahishe watoto wao sasa siku hizi hata pangu pakavu nao wanaenda nje wamerekebisha hyo sheria ya msamaha kwa wanaotoka nje!!
 
Kama gari ni kuu kuu mi nashauri aiache tu manake TRA watamcharge sawa na mtu aliyeagiza gari toka japan/dubai. Sasa kama gari haina thamani kubwa (something I expect based on my experience ya gari za wanafunzi ulaya) itakula kwake.

Kuna jamaa yangu alipewa gari na rafiki yake wa Uk, alipewa bure kabisa, alilipia tu gharama za usafiri kuileta TZ. Loh, ilipofika bongo mbona ilimshind kukomboa kwa makodi ya TRA
 
sheria ya mwanzo ilikuwa inatoa msamaha iwapo unmetumia bidhaa kwa mwaka mmoja au zaidi lkn mwaka jana/juzi sheria hiyo imerekebishwa na kuwa miaka 4 kwenda mbele. Kama umetumia kwa mika 4 hamna shida cha muhimu uwe na nyaraka zote muhimu, yataka moyo kwa urasimu wetu!

Hii nimeitoa kwenye website ya TRA.Kwa wanaojua ina maana gani?

"6.0 Tanzanians Changing Residence

Tanzanian changing residence from outside Tanzania to within shall on their first arrival shall be exempted from duties and VAT on their personal effects. These include:-

Wearing apparel for personal use.
Household effects which were being used by the person.
One motor vehicle with less than 13 passengers sitting capacity.
This exemption is available to any person who is over 18 years old. Furthermore, the personal effects must be the property of the person claiming the exemption. For a motor vehicle to qualify for exemption, it must be owned by the owner for at least twelve months excluding the period of the voyage.:

Kutoka : http://www.tra.go.tz/index.php?option=com_content&task=view&id=365&Itemid=76
 
Umenipa mwanga nilikuwa silijui hili, na kweli urasimu unachangia umasikini wetu
 
Kama gari ni kuu kuu mi nashauri aiache tu manake TRA watamcharge sawa na mtu aliyeagiza gari toka japan/dubai. Sasa kama gari haina thamani kubwa (something I expect based on my experience ya gari za wanafunzi ulaya) itakula kwake.

Kuna jamaa yangu alipewa gari na rafiki yake wa Uk, alipewa bure kabisa, alilipia tu gharama za usafiri kuileta TZ. Loh, ilipofika bongo mbona ilimshind kukomboa kwa makodi ya TRA

mkuu asante kwa ushauri nimekupata dah asije akaliacha hapo TRA
 
Mkuu, mshauri atafute shule aendelee kusoma badala ya kufikiriakurudi sasa hivi.

Mkuu kwanini umesema hivyo?? mbona anasema maisha ya kule ugumu umeongezeka mno tofauti na kipindi cha nyuma hawezi kuendelea kufanya hizo kazi za kulea wazee ni bora arudi home tu hata asipopata ajira anaweza kufanya biashara nyingine maana kama kamataji anako anako. aisee aikuambie mtu nyumbani ni nyumbani tu maana hata mimi nilitoka huko asikuambie mtu. ila inategemea na mtu katoka katika mazingira gani huko nyumbani ndio mtu anaweza kukata tamaa ya kurudi home.
 
MANAKE MKARI hiyo ni kama nilivyoeleza pale juu, hiyo at least 12 months ilirekebishwa na kuwa at least 4 yrs. Sijui kama tra walikumbuka kuiupdate website yao
 
Last edited by a moderator:
MANAKE MKARI hiyo ni kama nilivyoeleza pale juu, hiyo at least 12 months ilirekebishwa na kuwa at least 4 yrs. Sijui kama tra walikumbuka kuiupdate website yao

Kama ndiyo hivyo taasisi nyingi za serikali haziko makini maana kusahau kubadilisha taarifa muhimu kama hiyo siyo kitu cha kawaida maana ina mislead watu. Kama TRA wanapitia huku basi wawe wana update webiste yao sio kutuwekea taarifa ambazo ni useless!
 
Hii nimeitoa kwenye website ya TRA.Kwa wanaojua ina maana gani?

"6.0 Tanzanians Changing Residence

Tanzanian changing residence from outside Tanzania to within shall on their first arrival shall be exempted from duties and VAT on their personal effects. These include:-

Wearing apparel for personal use.
Household effects which were being used by the person.
One motor vehicle with less than 13 passengers sitting capacity.
This exemption is available to any person who is over 18 years old. Furthermore, the personal effects must be the property of the person claiming the exemption. For a motor vehicle to qualify for exemption, it must be owned by the owner for at least twelve months excluding the period of the voyage.:

Kutoka : http://www.tra.go.tz/index.php?option=com_content&task=view&id=365&Itemid=76

Asante sana mkuu kwa kutujuza...ngoja mie nijipange nishuke na ATV-QUAD 500cc iniwezeshe japo kwenda kununulia gazeti.
 
Back
Top Bottom