Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,421
- 85,862
Mikopo Elimu ya Juu: Kama tunachangia, basi hatuna deni | Gazeti la MwanaHalisi
Mmekaona hako ka-adress, hebu kabofye uone utamu wake, but mind you ni kwa ajili ya wanafunzi tu walizulumiwa sorry waliodhulumiwa mikpo yao.
By the way, napenda kuwakumbusha WANAFUNZI WOTE WA VYUO VIKUU kuwa, Juzi juzi yule jamaa alikuwa DODOMA this time kaibukia huko baada ya kutuyeyusha saaana pale DIAOMOND Jubilee mwaka ule, masikini wee, tukavaa t-shirt na makofia kama wavuvi au wagonjwa wa UKOMA, haoooo hadi Diamond, tukaahidiwa kuwa hakuna mwanafunzi yeyote atakaye kosa MIKOPO wala elimu ya JUU, tukashangilia weee hadi mbavu zote zikauma, kurudi chuo tukakuta tests zimeishafanywa, ikabidi tufanye special sitting.
Jifunzeni muende zenu msitende kosa tena, kama walivyotenda ndugu zenu wakasalitiwa, sina mengi mie mwanenu. Na hadithi yangu ikaishia hapoo