Kwa wanachuo na waliopitia chuo na wengine karibuni

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,818
11,000
Kwa Hapa chuoni hasa chuo Kikuu na Vingine Tanzania kila mtu ameondoka kwao akapate Elimu pale.Kwa Hapa Chuoni kwetu First Year ambao ndo wanasemester moja,hasa wadada wa udsm na campas zake wana mahusiano na mwaka wa2 na 3 na wao wenyewe kwa wenyewe.Na unakuta wanaune wa hapa wana mpenzi zaidi ya mmoja na wote ni wa chuo hapahapa.Kuna jamaa alimpenda dada hapa,dada akampa masharti kua wawe wapenzi ila kutangulizana ndani ya chuo marufuku kama ni kuonana ni mjini tu.Je unadhani chuoni kuna mapenzi ya dhati ama ni kukata kiu ya mapenzi ama Mapenzi yakoje chuoni uonavyo wewe,je kuna Upendo Na Ukweli
 
Juzi nilipigwa Exile Saa sita hadi saa8,Usiku saa2 hadi saa5,sema nlikua najisomea,Exile ilikua na Faida
 
Juzi nilipigwa Exile Saa sita hadi saa8,Usiku saa2 hadi saa5,sema nlikua najisomea,Exile ilikua na Faida

asa we unashangaa hyo,wenzio 2napgana exile ya hadi masaa 72 na hatuwazi!kwanza uko wapi nikutembelee?
 
hakuna mapenzi wala nini, ni friends-with-benefits tu... utapendaje watu watano au saba kwa wakati mmoja?
 
Nawafahamu couples 5 toka chuo kikuu waliooana, japo pia wengi walivunja mahusiano baada ya chuo: akili yako usichanganye na mbayuwayu
 
Kwa Hapa chuoni hasa chuo Kikuu na Vingine Tanzania kila mtu ameondoka kwao akapate Elimu pale.Kwa Hapa Chuoni kwetu First Year ambao ndo wanasemester moja,hasa wadada wa udsm na campas zake wana mahusiano na mwaka wa2 na 3 na wao wenyewe kwa wenyewe.Na unakuta wanaune wa hapa wana mpenzi zaidi ya mmoja na wote ni wa chuo hapahapa.Kuna jamaa alimpenda dada hapa,dada akampa masharti kua wawe wapenzi ila kutangulizana ndani ya chuo marufuku kama ni kuonana ni mjini tu.Je unadhani chuoni kuna mapenzi ya dhati ama ni kukata kiu ya mapenzi ama Mapenzi yakoje chuoni uonavyo wewe,je kuna Upendo Na Ukweli

acha ushamba wewe. Umeenda chuo kutafuta mapenzi ya dhati, watakuchuna kama we ni dume . Atoke na wewe unategemea boom utampa nini? Wewe mwenyewe unaganga njaa, unaweza kufanyia shoping hata ya lak mbil wewe
 
Wewe hawa wanachuo dada zetu hamna kitu utakuta anamiliki mabwana kama kum wizara mbali mbali
 
Ndo mambo ya chuo hayo dogo,wewe ukitaka ufanikiwe fuata kilichokupeleka,asilimia kubwa ya mapenzi ya chuo huisha imediately baada ya kumaliza chuo,hapo boom linakua limeisha then kila mtu anarudi kijijini kwao jobless..
 
Asilimia fulani nayo huwa mapenzi yao yana survive na kuzaa ndoa.
Japo ni wachache
OTIS
 
Mi ninaye mwaka wa pili na ananipenda kweli, jana tu nlikuwa naye udbs full furaha, ukikaa naye unaenjoy. Anaöngea critical issue mpaka unajenga imani kuwa huyu ni wife material.
Simtafuti ananitafuta, simsms ananisms @day.
 
ooh! College love survives wakati chuo kinafunguliwa na booming days, au most seasonal love exists for academics cause!!

UDSM for campus kuna exiles za kutosha, no real commitments, dadas wengi wanachukuliwa na pple toka downtown na very rough relationships exits among varsity students.

USHAURI
Mapenzi, ulevi, + starehe haviendani na malengo ya kuwepo shuleni au chuoni.
 
Mi ninaye mwaka wa pili na ananipenda kweli, jana tu nlikuwa naye udbs full furaha, ukikaa naye unaenjoy. Anaöngea critical issue mpaka unajenga imani kuwa huyu ni wife material.
Simtafuti ananitafuta, simsms ananisms @day.

kumbe nawe ushapata?kazana uje umuoe na sio umchezee kama sie kaka zako tunavowachezea.
 
Mwaka 2009 nikiwa mwaka wa kwanza nilitaka kuingia ktk relation na mdada fulan na alikuwa ready japo mie nilichelewa kujinafasi kwa kutii life style yangu kwa kuwa binti mkali kuna lecturer akaanza kumchukua.
Kwa kweli nilipata wakati mgumu na nikajua siwez share na mkufunzi na kwa kuwa huyu lecturer alikuwa anajua kuwa yule dada tupo karibu alihisi ntachukia.
Mie nikamfuata lecturer na kumwambia my sister loves you so much as she talks about you more than studies
... akasema "I always know this lady is yours"

Nikamwambia she is my relative as you know African clans.

Mpaka leo yule ticha ni rafiki wangu na yule dada ni rafiki wa kawaida.

Sitaki tena mwanachuo mpaka sasa nimeliweza!
kwa ujumla bora hata makahaba kuliko wanavyuo.
 
Back
Top Bottom