Kwa wanachama na wafuasi wa cdm-wanaoishi/wanaotoka wilaya ya lushoto

A journey of thousands miles start with one step! Big up & congrats for this stratergic move!
 
Sehemu nyingi wanasubiri Chadema ifike, kuna baadhi ya vijiji kama Irente watu wamebadilika, kuna kero mbalimbali mfano maji hawana na wametoswa na ccm kwa kipindi cha miaka 50 ya uhuru, wamependekeza cdm iwe solution lakini wahache wanaanza kufanya michango walau kuona kama tunaweza ku reset hudumu muhimu kwa jamii kama vile maji, wendi wamechoka kama ambavyo wataanzania wamechoka pia, walio mbali na Lushoto tunahitaji support yenu

Kaka nimekupata! Naomba tuwasiliane 0714 311164.
 
Jamani kama kuna mwana bonde anaepitia uzi huu hatuwezi nasi kufanya hili? Muheza inakufa ndugu zangu!
 
Naunga mkono hoja. Mimi ni mzaliwa wa Bumbuli, na kusema kweli naona aibu kuwa mkoa wetu mzima hauna mbunge wa upizani. Umoja ni nguvu, tuunganishe nguvu tuwaondoe wakoloni weusi na majambazi ya kisiasa CCM. Najisikia vibaya sisi watu wa mkoa wa Tanga kuitwa mateka wa CCM.
 
Back
Top Bottom