Kwa wanachadema wote walijiandikisha katika daftari la wapigakura makumira university

massai

JF-Expert Member
May 2, 2011
653
137
Magamba wanahila nyingi sana katika chaguzi zote zinazofanyika wakati huu,uwe wa udiwani au wabunge.chadema tuna wanachuo wengi sana waliojiandikisha katika daftari la kupiga kura.tunawaomba wote wale wenye mapenzi na mabadiliko katika taifa letu la tanganyika popote pale walipo pasipo kujali gharama za usafiri tunawaomba mjitokeze siku ya upigaji kura tulitokomeze dubwana magamba katika uchaguzi huo.kura yako moja ni muhimu sana kuliko kitu chochote kile katika sanduku la kura.tunaomba uongozi wa chadema upige promo yakutosha.wanachuo hao wengi walisha hitimu masomo yao na wako sehemu mbalimbali hapa nchini,magamba wanajitapa kuwa wameshafanya riseach nakugundua kua wengi wa wapigakura wa chadema ni wanavyuo na wengi wao wamesha hitimu na hawako meru tena.kada mmoja wa magamba alikua akiongea kwa kujiamini sana leo jioni.
 
Back
Top Bottom