Kwa wanachadema wote na wapenz wa siasa..

Feb 21, 2012
53
23
KWA WANACHADEMA WOTE NA WAPENZ WA SIASA..TUtarudisha form siku ya alhamisi na tutazindua rasmi
kampeni zetu siku ya jumamosi kwa mujibu wa
mapendekezo ya ratiba ya awali. Wale mlioko ndani ya jimbo na maeneo ya jirani
karibuni uwanja wa ngaresero usa river/leganga....
 
Tunazindua kampeni au tunamtangaza mbunge Nassary? Nadhani nikukamilisha formalities tu lakini mbunge tayari Nassary. Peoplel's power!!!!!!!!!!!!!!!
 
KWA WANACHADEMA WOTE NA WAPENZ WA SIASA..TUtarudisha form siku ya alhamisi na tutazindua rasmi
kampeni zetu siku ya jumamosi kwa mujibu wa
mapendekezo ya ratiba ya awali. Wale mlioko ndani ya jimbo na maeneo ya jirani
karibuni uwanja wa ngaresero usa river/leganga....

Waacheni wafu wawazike wafu....................

KWA WANACHADEMA WOTE NA WAPENZ WA SIASA..TUtarudisha form siku ya alhamisi na tutazindua rasmi
kampeni zetu siku ya jumamosi kwa mujibu wa
mapendekezo ya ratiba ya awali. Wale mlioko ndani ya jimbo na maeneo ya jirani
karibuni uwanja wa ngaresero usa river/leganga....

Mkuu issue yenyewe itaanza saa ngapi? Maana yake nataka nije kuchua hiyo move kuanzia mwanzo hadi mwisho.
 
Nakumbuka maneno yanayokamilisha ukamilifu wa jambo muhimu katika jamii "YAMETIMIA MANENO YA UMMA" hii ndiyo kauli yangu siku ya leo baada ya jana kuona Mbunge wetu Nassary akipata baraka za awali kutoka kwa wazee wa kimila "WASHILI"hakika aliyeteuliwa na wanadamu basi hata mbinguni ameteuliwa, kwani maandandiko yanasema "Lolote litakalofungwa duniani hata mbinguni limefungwa" Hivyo kumbe hata lililowekewa baraka duniani hata mbinguni limebarikiwa.....................................
 
Sisi huku tupo pamoja kumweka kamanda nasari na wapiganaji wengine kwa Mungu ili awalinde na hao magamba! na wote wenye nia mbaya.
Uhuru wa kweli,Mabadiliko ya kweli ni thru CDM.
 
Najua huko ndo kwenu kasikazini ila tutatumia mbinu tu kushinda hilo jimbo letu kama kawaida
 
Back
Top Bottom