mwaJ
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 4,074
- 2,947
Wana CHADEMA ambao hutumia muda mwingi ku - comment humu JF tubadilike na kusaidia kukuza chama na kueneza elimu ya uraia huko mitaani kwa kuanzia na familia zetu wenyewe. Wapo wanaotoa michango mizuri kuelimisha watanzania lakini ni watanzania wachache tu wenywe kupata taarifa kwa njia ya mtandao. Na tutoke sasa nje ya JF tusaidie kuleta mabadiliko kwa upana zaidi.