Kwa wanaCCM tu: Nini chanzo cha kushindwa Serikali za Mitaa 2014?

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,052
28,242
Watu au niseme wanaccm wengi wanajiuliza ni ipi sababu iliyopelekea kupokonywa mitaa,vijiji na vitongoji kwa kiasi kikubwa toka upinzani uzaliwe?

Sababu mojawapo iliyochangia kwa kiasi kikubwa ni utapeli waliofanyiwa wagombea wao na ngazi ya juu au kati ya chama.

kuna fungu likilotolewa kwa ajili ya kampeni bahati mbaya limeishia mikononi mwa wajanja wachache na hivyo kupelekea wagombea kujigharamia gharama za kampeni.

wagombea wamechangishwa laki moja moja ili kusaidia kampeni huku ikisemakana kuna fadha ilitolewa kwa ajili hii.

wengi wa wagombea walijikuta wanashindwa kuhonga kama ilivyo desturi.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Utapeli ufisadi ni jadi ya ccm!ccm mmeamua kumkumbatia Sethi Singh sasa matokeo yake mkawaulize KANU,uongozi dhaifu wa mwenyekiti ccm,wananchi wanataka mabadiliko wasipoyapata ccm watayapata nje ya ccm!
 
Tatizo mnahonga kidogo. Chenge anahongwa 1.6 bilion, halafu sisi mnatuhonga 5000 na chumvi. Hii si dharau? Bora wake upinzani tujue moja tu kwamba hakuna hongo
 
kelele za esko na mambo yakipuuzi bunge la katiba limfechangia kwa 70%
 
Jamani hivi jangiri yupo? Hiki kimbunga cha Ukawa kimempa ganzi mpaka hajitokezi?
 
Watu au niseme wanaccm wengi wanajiuliza ni ipi sababu iliyopelekea kupokonywa mitaa,vijiji na vitongoji kwa kiasi kikubwa toka upinzani uzaliwe?

Sababu mojawapo iliyochangia kwa kiasi kikubwa ni utapeli waliofanyiwa wagombea wao na ngazi ya juu au kati ya chama.

kuna fungu likilotolewa kwa ajili ya kampeni bahati mbaya limeishia mikononi mwa wajanja wachache na hivyo kupelekea wagombea kujigharamia gharama za kampeni.

wagombea wamechangishwa laki moja moja ili kusaidia kampeni huku ikisemakana kuna fadha ilitolewa kwa ajili hii.

wengi wa wagombea walijikuta wanashindwa kuhonga kama ilivyo desturi.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

Sifa ya kwanza kuwa mwanaCCM bora ni lazima uwe FISADI ili kuendeleza ukoo wa panya yani baba, shangazi, mama panya na watoto wao wote ni wezi.
 
Kwa watu wanaoelewa maana ya vyama vingi na ukizingatia toka vianzishwe nadhani bado vimechelewa sana kama kwa asilimia hizi tunaweza kusema ccm "imeshindwa"
 
Back
Top Bottom