kingxvi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 879
- 150
tunaangalia
uwezekano wa kwenda kuuzuia
uchaguzi wote wa udoso na
college zake mahakamani siku
yoyote kuanzia kesho kutokana
na sababu zifuatazo
1.college of informatic imefungwa
hivyo watu zaidi ya 1200
watakosa haki yao ya
kidemokrasia kuchagua rais wa
federation.
2.vigezo wanavyotumia kupitisha
wagombea vinakinzana na
demokrasia
3.katiba mpya ya udoso kisha ndio ufanyike uchaguzi
n.b: nimeshawasiliana na mwanasheria wangu kwa ajiri ya taratibu zote.!
uwezekano wa kwenda kuuzuia
uchaguzi wote wa udoso na
college zake mahakamani siku
yoyote kuanzia kesho kutokana
na sababu zifuatazo
1.college of informatic imefungwa
hivyo watu zaidi ya 1200
watakosa haki yao ya
kidemokrasia kuchagua rais wa
federation.
2.vigezo wanavyotumia kupitisha
wagombea vinakinzana na
demokrasia
3.katiba mpya ya udoso kisha ndio ufanyike uchaguzi
n.b: nimeshawasiliana na mwanasheria wangu kwa ajiri ya taratibu zote.!