Kwa wana jf waliowahi kula ban

mi niliona mods wana lao jambo!, lakini niliona pia wanafanya upumbavu kwani wanafunga ID lakini hawanizuii kufungua nyingine ndani ya dakika 3 na kuendelea kushusha yote yaliyobakia!!, kwanza walinionea! Kumwita mtu anaeeneza udini kuwa ni panya kuna kosa gani? Mi nilimwita lipumba panya kwa kueneza udini!, sasa tusikee udini??, bado nina hasira na waenezao udini!
 
wajameni BAN sio mchezo, yaani unakuwa unakula kwa macho tu, nilikuwa huko gerezani kwa wiki moja tu yaani nilihisi nakosa vitu vingi ikiwemo kutoa mawazo yangu
 
you go and visit other houses that welcomes you with both hands.......you tell them why they locked you out of their house.....NILIWAHI KULA BAN KWA KUSEMA .....HALI HALISI NI KUBENEA......SO NIKAPITA INTO OTHER HOUSE ...THEY WELCOMED ME AND ENJOYED A LOT THE LIFE OUT THERE...!
Kwa hiyo your presence hapa ni kwa kuwa umekula BAN kutoka huko the OTHER HOUSE?
 
Back
Top Bottom