Kwa wana CHADEMA tu!

Nina lazimika kuweka bayana nia yangu ya kukomboa jimbo uchaguzi mkuu ujao. Nina amini raisi bora atatoka chama cha upinzani. Ni muda mrefu CCM wamekuwa madarakani lakini maendeleo ya nchi yazidi kushuka. Ufisadi usio na kina unazidi kushamiri, rushwa na kupotea kwa utaifa vinazidi kushika kasi. Mikakati yangu ni kuimarisha CHADEMA kwa ngazi ya Kaya kwa kaya. Jimbo langu lina kata 17, Sekondari za Kata 4, seminary secondary school 1, shule 2 za serikali za sekondari. Hizi shule nitazitembelea na kuwapa misaada ya hali na mali ikiwa ni pamoja kujitolea kufundisha ili nifahamike zaidi kwa wanafunzi ambao ndiyo wapiga kura 2015 hasa elimu ya uraia.

Nitaanzisha mashina ya chama kwenye kata zote 17, nitawezesha wapatikane watendaji kwenye kila kata na kufungua ofisi pamoja na kununulia baiskeli viongozi wote 17. Nitatoa ujira walau kila mwezi wa Shs 10,000 kwa kila kiongozi. Ni hela ndogo ila uwezo wangu si mkubwa na mimi si fisadi. Kila mwaka kutakuwa na mashindano ya kugombea Ng'ombe na jezi kwa vijana football na Netball. Mashindano ya mbio riadha na baiskeli. Ninaandaa manifeso ya uchaguzi ujao nikilenga matatizo ya wananchi wangu na sulihisho zake, sitoweka hapa JF maana najua itanakiliwa na CCM na kurudifiwa.

Ninampango wa kuwasiliana na Makao Makuu ili kadi na viongozi wa juu wa chama waanze kampeni mapema kuandaa wananchi wangu kulinda kura zitoshe 2015.

Pipozi powa! Peoples Power ! Tanzania is for Changes

Rev Masa K

Hongera sana Mkuu kwa uamuzi huu mkubwa katika kujenga Taifa letu. Nakuombea kila la heri na mafanikio katika yote unayoyakusudia kuyafanya ili kuutwaa ubunge wa jimbo hilo.

Ngh'wana Makanza!

Nakushukuru sana, Wasukuma wameamka sana kisiasa hawataki porojo! Ndo sababu nimeazimia kuboresha maeneo ya kule kwetu kwa kutumia malighafi watu na vitega uchumi vilivyo ndani ya uwezo. Tokea mwanzo sera zangu ni kuwapa mbinu waweze kuwa na maisha bora. Kofia na Tishirt baada ya miaka 5 hakuna tija. Nina utaalamu wa kufyatua na kuchoma tofari Thanks to National service 1991-2. Nitashirikisha wananchi tubadili nyumba zao kwa nguvu zao. Kama unawazo anuwai kuhusiana na maeneo ya kule kwetu basi wewe ni PM

Masa K

Big up Masa! Mimi naku support hasa kwenye swala la nyumba. Nitoe maoni tu kama yata add value kwamba instead ya kujenga kitu kitakachokaa muda mfupi basi ningekushauri kuwa organize vijana kwenye jimbo lako kutengeneza small companies za ujenzi alafu wakiwa in those group of companies unawezesha kuwatafuta wataalamu wenye vyeti vya VETTA kulingana na fani zao one in each group. So kutakuwa na hao watakaosaidia kufytua matofali company moja, waashi company nyingine etc. Baadaye over all unatafuta Civil engineer mzalendo mmoja atayekuwa akitoa consultancy kwenye hivyo vikundi lakini kwa makubaliano rasmi kwamba hivi vi company viki breakthrough watalipa hiyo consultance fee kwa huyo mzalendo na wewe ukiwa garantor (SP?) wao.

Then mnaanza kupanga vijiji/ mitaa depending on needs na kuingia mikataba ya hiari (Long term) na raia wenye hitaji la nyumba kuwajengea nyumba zao nzuri spacious na zenye garden za nguvu maana huko rural ardhi siyo issue kubwa. Kazi yako kama mbunge mtarajiwa tafuta seed money (Funds) siyo nyingi sana kusaidia kuweka misingi kwenye hizi companies tafadhali usipeleke hii issue kwa wafadhili (foreigners) utashindwa kabla ya kuanza. Unaweza uka solicite funds from various internal sources..kumbuka hao ni vijana ambao hawakuwa na kipato so usiwape pesa bali posho kidogo tu za kujikimu wakati wakianza; so before anything fanya baseline kuona kipato halisi nikiasi gani in the specific area ili chochote watakachokipata from their companies wakithamini na kuona ni jasho lao wenyewe (To develop sense of ownership).

Then wakiweza kujenga nyumba ukianza kwa wale wenye kipato ili waweze kulipa kwa haraka...una saidia kuwa na leagal facilite itakayowezesha agreement huku wewe uki mediate. Umtafute mzalendo pia kwa consultancy tu how to draw simple and applicable agreements. Na hivyo hao first phase wakianza kulipa companies zina anza kuwa liquidated so wanaendelea na hizo firm zao kuwajengea na wengine na wengine mpaka hatimaye inakuwa ni permanent thing...Utawapa vijana ajira na family zao makazi mazuri.

Wewe mbunge mtarajiwa utakuwa na kazi ya kutafuta other ways za kuraise income za wapiga kura wako ili waweze lipia hizo nyumba zao...Maana watatakiwa kulipa may be in 20 years for example. Malipo yakifanyika kwa installment ukitoa grace period ya may be one season ya kuvuna mazao na kuuza. Care International wana models za payment kwaajili ya hizo programs hata za nchi nyingine kama Bangladesh and the like.

Implementation wont be straight lakini utakuwa na lessons learnt na ku improve as you proceed. Masa Ukishafanikisha after so many years unikumbuke nije kutembelea tu nitafarijika sana na wakati huo tutafungua shampen pamoja na wapiga kura wako!

Nakutakia yote mema katika kufikia malengo yako
 
Wakati ukifika nijulishe nikupe mchango wangu ingawa najua pa kukupata na kukuwakilishia mchango wangu
 
big up Rev Mas

Kama ni maeneo ya kanda ya ziwa tutakutana huko kupeana nguvu, mimi sasa hivi nina mikakati ya 2015
 
Nina lazimika kuweka bayana nia yangu ya kukomboa jimbo uchaguzi mkuu ujao. Nina amini raisi bora atatoka chama cha upinzani. Ni muda mrefu CCM wamekuwa madarakani lakini maendeleo ya nchi yazidi kushuka. Ufisadi usio na kina unazidi kushamiri, rushwa na kupotea kwa utaifa vinazidi kushika kasi. Mikakati yangu ni kuimarisha CHADEMA kwa ngazi ya Kaya kwa kaya. Jimbo langu lina kata 17, Sekondari za Kata 4, seminary secondary school 1, shule 2 za serikali za sekondari. Hizi shule nitazitembelea na kuwapa misaada ya hali na mali ikiwa ni pamoja kujitolea kufundisha ili nifahamike zaidi kwa wanafunzi ambao ndiyo wapiga kura 2015 hasa elimu ya uraia.

Nitaanzisha mashina ya chama kwenye kata zote 17, nitawezesha wapatikane watendaji kwenye kila kata na kufungua ofisi pamoja na kununulia baiskeli viongozi wote 17. Nitatoa ujira walau kila mwezi wa Shs 10,000 kwa kila kiongozi. Ni hela ndogo ila uwezo wangu si mkubwa na mimi si fisadi. Kila mwaka kutakuwa na mashindano ya kugombea Ng'ombe na jezi kwa vijana football na Netball. Mashindano ya mbio riadha na baiskeli. Ninaandaa manifeso ya uchaguzi ujao nikilenga matatizo ya wananchi wangu na sulihisho zake, sitoweka hapa JF maana najua itanakiliwa na CCM na kurudifiwa.

Ninampango wa kuwasiliana na Makao Makuu ili kadi na viongozi wa juu wa chama waanze kampeni mapema kuandaa wananchi wangu kulinda kura zitoshe 2015.

Pipozi powa! Peoples Power ! Tanzania is for Changes

Rev Masa K

Nice move Rev. To dare is to do and we are behind you Rev.

Rafiki yako MS umemtaarifu lakini? maana wishes zake ni muhimu sana, unaweza m-PM ajue uko serious zaidi

By the way, all the best and hope wakati ukifika utatushirikisha nasi tutakuwa pamoja nawe kutekeleza
 
Brilliant idea!! "Take care of the pennies....... and the pounds will take care of themselves...."
 
Big up Masa! Mimi naku support hasa kwenye swala la nyumba. Nitoe maoni tu kama yata add value kwamba instead ya kujenga kitu kitakachokaa muda mfupi basi ningekushauri kuwa organize vijana kwenye jimbo lako kutengeneza small companies za ujenzi alafu wakiwa in those group of companies unawezesha kuwatafuta wataalamu wenye vyeti vya VETTA kulingana na fani zao one in each group. So kutakuwa na hao watakaosaidia kufytua matofali company moja, waashi company nyingine etc. Baadaye over all unatafuta Civil engineer mzalendo mmoja atayekuwa akitoa consultancy kwenye hivyo vikundi lakini kwa makubaliano rasmi kwamba hivi vi company viki breakthrough watalipa hiyo consultance fee kwa huyo mzalendo na wewe ukiwa garantor (SP?) wao.

Then mnaanza kupanga vijiji/ mitaa depending on needs na kuingia mikataba ya hiari (Long term) na raia wenye hitaji la nyumba kuwajengea nyumba zao nzuri spacious na zenye garden za nguvu maana huko rural ardhi siyo issue kubwa. Kazi yako kama mbunge mtarajiwa tafuta seed money (Funds) siyo nyingi sana kusaidia kuweka misingi kwenye hizi companies tafadhali usipeleke hii issue kwa wafadhili (foreigners) utashindwa kabla ya kuanza. Unaweza uka solicite funds from various internal sources..kumbuka hao ni vijana ambao hawakuwa na kipato so usiwape pesa bali posho kidogo tu za kujikimu wakati wakianza; so before anything fanya baseline kuona kipato halisi nikiasi gani in the specific area ili chochote watakachokipata from their companies wakithamini na kuona ni jasho lao wenyewe (To develop sense of ownership).

Then wakiweza kujenga nyumba ukianza kwa wale wenye kipato ili waweze kulipa kwa haraka...una saidia kuwa na leagal facilite itakayowezesha agreement huku wewe uki mediate. Umtafute mzalendo pia kwa consultancy tu how to draw simple and applicable agreements. Na hivyo hao first phase wakianza kulipa companies zina anza kuwa liquidated so wanaendelea na hizo firm zao kuwajengea na wengine na wengine mpaka hatimaye inakuwa ni permanent thing...Utawapa vijana ajira na family zao makazi mazuri.

Wewe mbunge mtarajiwa utakuwa na kazi ya kutafuta other ways za kuraise income za wapiga kura wako ili waweze lipia hizo nyumba zao...Maana watatakiwa kulipa may be in 20 years for example. Malipo yakifanyika kwa installment ukitoa grace period ya may be one season ya kuvuna mazao na kuuza. Care International wana models za payment kwaajili ya hizo programs hata za nchi nyingine kama Bangladesh and the like.

Implementation wont be straight lakini utakuwa na lessons learnt na ku improve as you proceed. Masa Ukishafanikisha after so many years unikumbuke nije kutembelea tu nitafarijika sana na wakati huo tutafungua shampen pamoja na wapiga kura wako!

Nakutakia yote mema katika kufikia malengo yako

Asante sana Felister

I am touched na ideas zako, suala na kukimbilia kwa wafadhili sina kwenye mipango. Nguvu kazi yangu na tegemeo langu kubwa ni kuanzisha miradi endelevu. Wananchi nilivyowasoma wanahitaji kuelekezwa na kuwezeshwa. Umenipa wazo zuri sana.
 
wa kwe2 hongera kwa uamuzi na mpango mzuri,kumbuka na kutuchimbia visima walau kila kitongoji, hawa wenzetu hawana mpango na wanafiki tu.
 
Hongera mchungaji!Lini kampain inaanza tuanze maandalizi??2015 lazima tuwapige mafisadi bao la kisigino!
 
JUA HUWAANGAZIA KWANZA WALE WALIOSIMAMA KABLA HALIJAWAANGAZIA WALIOKAA......! kimbia wakati wenzako wanatembea
 
Aisee mbona mazingira ni kama ya jimbo nnalotaka kuchukua 2015. Kwa ufupi ntalichukua kupitia CDM, tuwasiliane jama.
 
kwa nini initials za wengi kati ya viongozi na watafuta uongozi CHADEMA zinafanana na initial ya Masa?????????

Tatizo liko wapi?Kila mtu ana uamuzi wakusurport na kufanyia kazi anachoamini!Sasa wao kama wao wanaamini wanachoweza kukifanya kupitia CDM na kama kwa bahati wametokea kua na hiyo title then be it!Kwani umeambiwa uchungaji ndio utakaopelekwa ikulu?Usiangalie kinachotangulia jina...angalia uwezo na sera za mtu!
 
Now you are talking Rev!
................................ we dont have much resources at our disposal but we have the will and courage.

Mkuu hapo umesema ! Tuko wote.
Nina imani tupo wengi humu na wengine hawajatangaza nia, lakini kwa njia moja au nyingine watasaidia ktk kuleta mabadiliko tuyatakayo.
 
Big up Rev. Masa nitakuwa mpiga debe wako wa nguvu nitakufa na mtu hasa wakati wa kulinda kura.
 
Back
Top Bottom