kwa waliyoomba Mbeya University of Science and Technology zaman MIST

epau

Member
Feb 24, 2008
15
1
Ndugu wapendwa kwa yeyote ambaye anategemea kujiunga na Mbeya University of Science and Technology(MUST) zaman kikiitwa Mbeya Institute of Science and Technology(MIST) jijin Mbeya kwa mwaka wa kimasomo 12/13.. Anaweza kudrop maswali au kuomba ushauri juu ya university hii.. Hususa kwa wale waliotoka form six ambao wataenda kusoma bridging coarse kwa mwaka mmoja hususa kwenye Bachelor ya Civil Engineering.. Hata wale waliotoka diploma au FTC kwenye vyuo vya ATC.. DIT..Karume..na Rwega chuo cha maji.. Wewe funguka 2 hapa..
 
  • Thanks
Reactions: JRK
mimi nmepangiwa civil eng hapo must mwaka huu sasa napenda kuuliza hivi hyo bridging course kuna kudisco???halafu hvi ukichelewa kwa registration unaweza kosa hostel na kama ukikosa unafanya nini??
 
Je ni rahis mtu kama amechagulia aru au arusha tech kuamia hapo???
 
Yap.. Kwa kukusaidia ndugu.. cheki website.. www.mist.ac.tz ya chuo..Wameweka New fee structure.. Kwa muhula wa masoma 12/13..
 
ok! Bridging koz kudisco au supplimentary ni kawaida.. Halafu vyuo hivi ambavyo vpo chini ya NACTE.. Kuna ki2 kinaitwa technical supplimentary.. Ndio kinachoumiza.. Swala la kudisco sio kivile kwa watu wa bachelor.. Sema technical supp ndio kibao.. Hata ukicheki matokeo kwa website ya chuo utaona rangi ya njano kwenye matokeo ya wa2 hiyo ndio technical supp.. Swala la hostel kwa mwaka huu litakuwa ni tatizo lkn ni kwa wanaoendelea.. Kwa nyie mwaka wa kwanza sidhani kama itakuwa nitatizo.. Sema ni vizuri ungewahi kwa ajili ya orientation week.. Bila shaka itakuwa ni tarehe 15/10.. Swala la kuhama chuo kwenda chuo kingine bila shaka ni utaratibu wa TCU coz nyie mliomba kupitia TCU.. All in All uliyechaguliwa Civil karibu sana.. Nauje upambane.. Chuo ni kizuri japo kuna matatizo ya hapa na pale na hili nikutokana na serikali ye2.. Karibuni kwa Prof. Msambichaka..
 
nashukuru sana mkuu kwa kunifungua!!!
 
hivi hawa mist mbona hawatoi majina ya undergraduate selctected student????????
 
Hilo ni swala la management.. But next bila shaka.. yatakuwa displayed..
 
Mshindwe wenyewe tu vijana,Universities kila kona kama shule za kata.Nasikia pia kuna KATAVI University!!
 
wewe ni dean of student? Mbona kihelehele kama malaya kaona pochi la noti......
ndugu wapendwa kwa yeyote ambaye anategemea kujiunga na mbeya university of science and technology(must) zaman kikiitwa mbeya institute of science and technology(mist) jijin mbeya kwa mwaka wa kimasomo 12/13.. Anaweza kudrop maswali au kuomba ushauri juu ya university hii.. Hususa kwa wale waliotoka form six ambao wataenda kusoma bridging coarse kwa mwaka mmoja hususa kwenye bachelor ya civil engineering.. Hata wale waliotoka diploma au ftc kwenye vyuo vya atc.. Dit..karume..na rwega chuo cha maji.. Wewe funguka 2 hapa..
 
thnx manoah.. Koz ww unamjuwa dean kwa upeo wako sio? Matusu tumezoea sana 2.. IQ yako?
 
Ndugu wapendwa kwa yeyote ambaye anategemea kujiunga na Mbeya University of Science and Technology(MUST) zaman kikiitwa Mbeya Institute of Science and Technology(MIST) jijin Mbeya kwa mwaka wa kimasomo 12/13.. Anaweza kudrop maswali au kuomba ushauri juu ya university hii.. Hususa kwa wale waliotoka form six ambao wataenda kusoma bridging coarse kwa mwaka mmoja hususa kwenye Bachelor ya Civil Engineering.. Hata wale waliotoka diploma au FTC kwenye vyuo vya ATC.. DIT..Karume..na Rwega chuo cha maji.. Wewe funguka 2 hapa..

sasa mimi nimepata chuo hicho nilisoma diploma mkopo nimepata nacte wamenichagua ila hapo chuo jina langu halipo nawapigia simu awaeleweki siwaelewi mi ata sielewi sasa na muda ndio huo
 
Nasikia kuwa kuna facult mpya chuon hapo iitwayo mechatronics so hyo ni kwa diploma au degree? Then ina deals with what? Coz me kila niki ichek ciipata jamani..!
 
Mkuu, BRIDGING COURSE kwa Form VI leavers ambao hawakukidhi vigezo vya kujiunga na MUST huwa inaanza kutolewa mwezi gani?
 
Back
Top Bottom