Kwa waliosoma Azania sekondari.

..Mama angu Mlezi Mama Temba..
..michezo alikua Salum Salum na Mwalimu Khatibu (alikua refa wa Ngumi)

...hahahahaha..kuna kipindi walibaki tulibaki wenyewe ..ugomvi na jitegemee (don bosco)

...kweli kabisa..hata kichwani si kivilee

..Mwalimu Mwachampaka..
..Mwalimu Salum Salum
..Mwalim Khatibu
..Mwalimu Ryoba
..Mwalimu Yengela..(Tokyo)
...dahhhh...long timeeeeeee

Mwalimu wa michezo ambaye pia ni refa wa ngumi sio Mwl.Khatibu ni Mwl.Hatia kanifundisha Physical Education.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mwalimu Ryoba alishafariki mwanzoni mwa mwaka jana.
Nakumbuka school Baraza watoro wote ni lazma watakuja shule.
Ikifika kipindi cha walimu kujitambulisha, Akijitambulisha Mchwa wanafunzi wote hulipuka kwa makelele ya kumshangilia.
 
Kuna yeyote mwenye taarifa za mwalimu Kihunrwa? Sijawahi kumpenda mwalimu yeyote zaidi yake, anajua sana kufundisha Kiswahili.

Azania Sec. School (1998 - 2001).

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Smiling Saint ,Mwl Lyamuya,Mwl Matley,Mwl Kitundu,Mwl Mrope,Mama Mushi,....

Mwalimu Kitundu alinikuta F 2 wakati anakuja Azania, namkumbuka huyo Dada, alikuwa akitema ung'eng'e kwa lafudhi ya Kizungu na alikuwa kama ana makengeza hivi, she was cute. Mrope na Mama Mushi nadhani hawakunikuta.
 
Last edited by a moderator:
Sikujua mkuu mtu chake na mkuu Mphamvu ni wanaAza boys... Ni kama mimi,early nineties..
Ile label ya zamani ilikuwa ya ukweli,wakaja wajinga wakatengeneza ya kwao,kama ramani ya Afrika,Kwayu akawakubalia..

Mi hata sio wa zamani kaka, graduate wa advance 2010. Kuna kipindi nilikaa bwenini pale wanapokaa ECA siku hizi.
 
Last edited by a moderator:
Mwalimu Ryoba alishafariki mwanzoni mwa mwaka jana.
Nakumbuka school Baraza watoro wote ni lazma watakuja shule.
Ikifika kipindi cha walimu kujitambulisha, Akijitambulisha Mchwa wanafunzi wote hulipuka kwa makelele ya kumshangilia.

Ayaah! Ryoba katangulia! Alikuwa very interractive, alinifundisha Kiswahili enzi hizo.
 
yalikuw ni makelele ya kumzomea sio ya kumshangilia,
alikuwa akitaka kuongea tu full kuzomewa,

Mwalimu Ryoba alishafariki mwanzoni mwa mwaka jana.
Nakumbuka school Baraza watoro wote ni lazma watakuja shule.
Ikifika kipindi cha walimu kujitambulisha, Akijitambulisha Mchwa wanafunzi wote hulipuka kwa makelele ya kumshangilia.
 
Ayaah! Ryoba katangulia! Alikuwa very interractive, alinifundisha Kiswahili enzi hizo.

Mimi alinifundisha Civics, may God rest his soul in peace.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Jamani wana Azania wenzangu naomba tujikumbushe kipindi kile tukiwa shuleni.Nakumbuka kipindi hicho ukifaulu kwenda Azania unaheshimika mtaa mzima.Ndio shule pekee ya serikali iliyokuwa na wanafunzi wa kiume pekee katika mkoa wa Dar es salaam.Si mnakumbuka nickname yetu ya shule ya Azaboys?Tulikuwa tunajiita wagumu hivyo masholi wa Jangwani sekondari hatukuwafagilia.Tulikuwa tunawasumbua sana walimu wetu kwa kukimbia masomo ya darasani na kwenda tuition.Je unamkumbuka yule mwalimu wa nidhamu aitwae Mchwampaka?Unamkumbuka mkuu wetu wa shule aitwae Andrew kwayu?Naomba mnikumbushe mengine wana AZABOYS.

Namkumbuka sana Andrew Kwayu, Mwl Mejja, Kisamo. Mama Temba, Mama Kusaga....
 
Kwa wale walomaliza 2002 tunajaribu kujiunga pamoja. Check fb "Azania 2002", jiunge/cheki na mmoja wa maadmin akuongeze kwenye kundi...
 
mi niliishi pale jirani yenu, Zanaki hostel near Azania, nikiwa mwanafunzi wa shule jirani na nyie pale.
 
Bila shaka pretty ulikuwa demu wangu mimi nilikuwa azajangwa ya ukwata .....pamoja na sheba kusaga, JJ , KINE upande wa kwenu... wa kwetu nawahifadhi

azajangwa, ukwata.. na kucheza jaiving kwenye sherehe za ukwata pala Azania. stage inatoaje sauti za vishindo
 
Back
Top Bottom