Kwa waliopanga Uswazi fumanizi hili linaweza kukufundisha kitu!!

Kwa huyo rafiki yako ashukuru Mungu kwani mke amekimbia tu,kuna klisa kilitokea sehemu fulani mkoani Shinyanga ila sitaitaja,mke alifumaniwa kisha jamaa(mume) akamchukua kwa upole akarudi naye nyumbani mke akajua zangu zimeisha lakini jamaa akamuambia wakaoge na wakaoga pamoja na bwana wala hakumgusa,ilipofika saa ya kulala wakalaa ila mume hakuulizia tendo na mwanamke akawa na woga akijua nikimsemesha mume wangu labda nitampandisha hasira.Zikapita wiki mbili bila tendo lakini mengine yote yalikuwa kama kawaida.Siku moja wakati jamaa amerudi kazini jioni hakumuona mkewe kama ilivyokuwa kawaida akaingia chumbani na kumkuta mkewe ameshakunywa sumu na kumuachia ujumbe kuwa hawezi kuishi kwa aibu kiasi kile na wala hawezi kushitaki kunyimwa unyumba na mumewe kwani yeye ndiye alikuwa mkosefu.Basi jamaa alilia sana kwenye msiba na alikuwa akisema kuwa zilibaki siku mbili tu ifike siku ya wapendanao na alikuwa amemuandalia surprise mke wake ili waanzishe upya penzi lao lililokuwa limeingiliwa.

paka kisa chako kimenifanya machozi yanilenge.
hapa inaonesha kabisa hawa wanandoa walikua wanapendana sana lkn kwa vile shetani hapendi kuona watu wa mungu wakiishi kwa furaha akahakikisha haya yanatokea.poor husband.
 
Huyu jamaa ana hekima ya ziada, kwa hali ya kawaida na ya binadamu wa kawaida ni ngumu sana kutofanya kitu kwa kumfumania umpendae. Labda walikuwa kwenye bad terms, ila kama walikuwa hawana mikwaruzana kwa kweli jamaa namsifu ni shujaa.
 
jamaa ni jasiri sana , pia mungu alimuwezesha kuimudu hali hiyo, ujue kama huna ubaya na mwenzako ktk ndoa afanye afanyavyo iko siku mungu atamuumbua. ndio hiyo ck ye alijua mwenzie amelala kumbe upande wa pili haikuwa hivyo, huyo jamaa alee mtoto wake hayo yapo, yalikuwepo na wala hayataisha,
 
Ina maana huyo jamaa na mwanaye kamsusa au??

Ametumia akili ya zaidi kuhandle tatizo hili ila angejaribu kufatilia mwanaye anaendeleaje na kumpa matunzo.
 
Ni kisa cha kusikitisha sana. dah nadhan walianza hako ka mchezo siku nyingi..arobain ikafika.. Mpe pole jamaa,jamaa pia ni mkomavu kiakili na ni mvumilivu hapa jazba wala papara iliwekwa kando. tatizo kwa mke ataelezea vipi jamii kilichomtoa kwa mume. Uswazi kuna vituko sana
 
Ndiyo maana aliamua kutimka maana aibu ilikuwa kubwa dhamiri ikamshitaki akaondoka bila kuambiwa, kwani hata jamaa alipomuambia amemsamehe bado dhamiri ilimgomea kurudi.
 
Amemu abuse mumewe emotional! yaani jamaa mpaka anaachwa kitandani na mkewe anaenda kuliwa nje ya chumba? kweli kuna wanawake dunia hii wamepinda na bila haya anarudi chumbani eti kulala mpaka asubuhi anajiamini nini huyu mama jamani! Nampa tano huyo baba kwa busara zake maana angeanzisha ugomvi angewapa vichwa sana hao wagoni
 
Nimesoma vibaya au? Maana naona kama vile unawazungumzia watani zangu Wangoni?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom