kwa walioomba kazi ya muda ya sensa

da kweli ajira ni ngumu, sometimes naamini hata degree yangu haina maana sasa, yaani nashindanishwa na mtu wa form four ananizidi sifa duuuuh, i cant believe....nilikuwa nasikia ajira ngumu kumbe ni kweli, c mchezo. hata huyo form six aliyepata nikimshindanisha na cheti changu cha form 6 naamini haoni ndani
 
kwan best ulikua hujui? Uliomba na wewe? Jina limetoka? Tuko pamoja.
 
Mbona huku kwetu hawabandiki tuu? Halafu si tuko karne ya 21,yani wako too manual wanashindwa hata kuweka kwny web ya tanzania bureau of statistics? That is sooooooo yesterday!!
 
Hv hii kitu nayo ina usaili? Nimepata sms niende kwe interview ya sensa
 
Nimepokea sms,ikinitaka kesho kufika ofisi za kata kwa ajili ya usaili.ivi kumbe napo kuna usaili tena?maana me nilitest ka zali tu,hata kugongewa mhuri wa afisa mtendaji ckugongewa lakin nashangaa wameniita.
 
Kuna watu ambao hawakwalifyi wameomba so wanachuja, mbal na hapo idadi ya waombaj ni kubwa kulinganisha na idad ya nafasi so wanataka wachukue the best

kama hawaqualify kwanini waitwe, lazima wote wakwalify then ndo watafute the best..
Another thng usumbufu tu, wangechukua graduates ingekuwa no usumbufu sana..ways ni MTAZAMO TU.
 
Nimepokea sms,ikinitaka kesho kufika ofisi za kata kwa ajili ya usaili.ivi kumbe napo kuna usaili tena?maana me nilitest ka zali tu,hata kugongewa mhuri wa afisa mtendaji ckugongewa lakin nashangaa wameniita.

kama upo kwenye system je? C tutajuaje?
 
Back
Top Bottom