Kwa walioolewa na waliooa tu

dos santos

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
256
128
Kuna madai kwamba wanawake walioolewa hawapendi sana ngono kulinganisha na kabla ya kuolewa. Na hasa ndoa kuanzia mwaka mmoja na kuendelea. Kama ni kweli tatizo nini. Kwa walio ndani ya ndoa majibu pls
 
Ile ni shughuli kama zingine...
Mtu aliye nje ya ndoa hawezi kupata tendo hilo kwa frequency sawa na aliyemo kwenye ndoa...tofauti yake ni mbingu na ardhi!
 
Kuna madai kwamba wanawake walioolewa hawapendi sana ngono kulinganisha na kabla ya kuolewa. Na hasa ndoa kuanzia mwaka mmoja na kuendelea. Kama ni kweli tatizo nini. Kwa walio ndani ya ndoa majibu pls
sio hawapendi bali wameizoea na kuona ni kitu cha kawaida tofauti yake na kabla ya kuolewa ni kwamba mnafanya mara chache na kwa wizi wizi hivyo mtu anakuwa na hamu kwa kuwa demand ni kubwa supply ni ndogo lakini supply inapokua kubwa unaona kawaida tu kila ukitaka unapata
 
Ooooooh!!!! shit..........
Sorry sikusoma kichwa cha habari.
 
Kuna madai kwamba wanawake walioolewa hawapendi sana ngono kulinganisha na kabla ya kuolewa. Na hasa ndoa kuanzia mwaka mmoja na kuendelea. Kama ni kweli tatizo nini. Kwa walio ndani ya ndoa majibu pls

madai hayo siyo ya ukweli fanya tena utafiti ili uweze kupata ukweli zaidi.ukweli ni kwamba mabo yako balanced and worse still kwa walioolewa they do marvelous things about sex.in short they are sexual maniac.they dont get satisfied in sex,that is why divorce is rampant.do you know why?please avoid negativity.
 
sio hawapendi bali wameizoea na kuona ni kitu cha kawaida tofauti yake na kabla ya kuolewa ni kwamba mnafanya mara chache na kwa wizi wizi hivyo mtu anakuwa na hamu kwa kuwa demand ni kubwa supply ni ndogo lakini supply inapokua kubwa unaona kawaida tu kila ukitaka unapata

Nimekupa mzee ceter per bus!!!
 
Si kweli wanandoa wanahamu sana tena kama mmekutana watundu kwenye majamboz ukiwa kazini unatamani muda uishe fasta urudi nyumba usiku uingie muingie uwanjani muanze libeneke
 
Majukumu yanakuwa mengi baada ya ndoa ndio maana unaweza kukuta tendo la ndoa halifanikiwi sana baada ya ndoa tofauti na kabla,ndoa ni majukumu hivyo huwa si rahisi kwa wanandoa kuendekeza sana tendo na badala yake hujikita zaidi kwenye kujenga familia.
 
Kuna madai kwamba wanawake walioolewa hawapendi sana ngono kulinganisha na kabla ya kuolewa. Na hasa ndoa kuanzia mwaka mmoja na kuendelea. Kama ni kweli tatizo nini. Kwa walio ndani ya ndoa majibu pls

Hapo lazima iko tatiso hapo aiseee!!!

Ninawasiwasi ni ule mtindo wa kocha kuingiza timu uwanjani huku hajaiandaa kisaikolojia (yaani kaivurunda kabisa timu na akili za wachezaji haziko concentrated kwenye game) na pia hajaiweka timu yake sawa kwa mchezo kifiziki alafu anataka wachezaje wawe na hamu ya mchezo na wa-win game.....

Aaahhh!! wapi hilo halipo, sana sana watacheza tu kwa kujilazimisha kwa kuwa wako kwenye mkataba wa ajira na wakiona vipi watakutolea uvivu na matokeo yake "Vita ya wanandoa...furaha na faraja kwa infid's"
...am out
 
Majukumu yanakuwa mengi baada ya ndoa ndio maana unaweza kukuta tendo la ndoa halifanikiwi sana baada ya ndoa tofauti na kabla,ndoa ni majukumu hivyo huwa si rahisi kwa wanandoa kuendekeza sana tendo na badala yake hujikita zaidi kwenye kujenga familia.

Mkuu hii faculty ni muhimu sana katika kujenga familia na wengi wanaoiweka pembeni ya strategy zao za kujenga familia huishia kuitawanya maana hii human nature hii ndugu yangu kama huipati kwa starehe kwa mwenza wako lazima ukaitafute kwa infid's na hapo ndo mwanzo wa mwisho wa juhudi za kutunza familia.....

Jamani this must be in priority list ya kujenga familia.......tatizo ni kuwa tunavurugana alafu tunataka kushurutishana kufanya mapenzi (kama kuruta na afisa mafunzo wa jeshi) aah!! wapi hata mbwa akiona vipi huwa anakimbia
 
wanakuwa wamechoka na game
daily gwaride unazani padogo?
ennhh kumbe sjaolewa....:car::car:byeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom