Kwa waliokwisha zaa , ama kutia mimba, incase huko popote karibu kama msindikizaji .

Hebu tusahihishane hapo kwanza.
ili upate jibu kamili.

namaanisha ni upande upi kati ya ke na me unapofika climax ndio mimba utungwa?

Na uzingatie kwamba kufika kwako climax haimaanishi na mwenzio kafika!
 
Bora ulivyonitoa wasiwasi,Maana nilishtuka nikajua usiku huwa unanigeuza tandiko.
Suala la kufika Clmx na kutungwa kwa mimba ni upande wa mwanaume.
Ila inategemea na ulaji wako siku hyo.
Sio umekula zako mihogo mikavu afu unamwambia wife mtafute mtoto,mtakesha!!
 
Hapana Jdgmnt!!
Me siku zote huwa nasikia raha na huwa hakuna hata mimba ilinayoingia.
Ila kwa dogo wangu huyu nilihisi kama mwili wangu umekufa ganzi baada ya ejcltion ya Man.
After 2 weeks nikatia maguu hospitl nikaambiwa nimenasa.

Hapa kama kipo tukitafutacho! Bt still inakosekana kauli ya mdungaji! Tunapata ya mdungwaji only!
 
namaanisha ni upande upi kati ya ke na me unapofika climax ndio mimba utungwa?

Na uzingatie kwamba kufika kwako climax haimaanishi na mwenzio kafika!

Lawyer, udungwaji wa mimba hauhitaji sijui mmefika peak together at a sametym au huyu kawahi peak , huyu ka'delay.
Hu'depend ovary ya She iko matured na mbegu ikasiwa .
 
Hapa sikatai najua mimba haina style wala mbwembwe zozote lakini nilicho kuwa natafuta ni jinsi wadada wanavyo husisha climax na udungaji mimba! Mimba haitaji kunyanyua chuma

Lawyer, udungwaji wa mimba hauhitaji sijui mmefika peak together at a sametym au huyu kawahi peak , huyu ka'delay.
Hu'depend ovary ya She iko matured na mbegu ikasiwa .
 
Funguka sasa?
We si mdungaji?
Au hujawah lenga'
Usijidai hujaanza haya mambo.

Mi mbona nshafunguka mwanzoni mwa sredi !
Labda hujafatilia bt nirudie kusema mi ni mdungaji muandamizi kama sio mfawidhi.
Nina uhakika ni ranger or scorer mzuri , na ninaitwa father pia!
Bt katika agenda iliyo mezani i'm not proper sure still now, ndo nafanya reserch .
 
Bora ulivyonitoa wasiwasi,Maana nilishtuka nikajua usiku huwa unanigeuza tandiko.
Suala la kufika Clmx na kutungwa kwa mimba ni upande wa mwanaume.
Ila inategemea na ulaji wako siku hyo.
Sio umekula zako mihogo mikavu afu unamwambia wife mtafute mtoto,mtakesha!!

unajua wangu swala la kutunga mimba halina ufundi wowote! Mimba kama ni wakati wake inaingia haijarishi umekula miogo au ugali mgumu au unanyanyua vyuma, hizi style na nguvu ni mbwembwe tu!
 
Ngoja nimuulize Mentor kama nae amepata utamu sawa usiku huu, kama vipi tuanze kujiandaa na malezi ya kajunior.
 
Last edited by a moderator:
Mi mbona nshafunguka mwanzoni mwa sredi !
Labda hujafatilia bt nirudie kusema mi ni mdungaji muandamizi kama sio mfawidhi.
Nina uhakika ni ranger or scorer mzuri , na ninaitwa father pia!
Bt katika agenda iliyo mezani i'm not proper sure still now, ndo nafanya reserch .

Poa,ila kwa upande wangu,
Men siku zote huwa ndo wasababishi wa utungwaji wa mimba.
 
Swala la utamu na mimba ni vitu viwili tofauti! Unaweza usipate utamu au kufurahia lakini mimba ikaingia, chukua mfano watu wanao bakwa na kupata maumivu makali na mimba juu!

Ngoja nimuulize Mentor kama nae amepata utamu sawa usiku huu, kama vipi tuanze kujiandaa na malezi ya kajunior.
 
Last edited by a moderator:
MIE MGENI HAPA JAMANI NA HAYO MAMBO YENU YA SIJUI NINI HATA SIELEWI. NITAFUTIENI ELIZABETH WANGU a.k.a MAMNDENY
 
unajua wangu swala la kutunga mimba halina ufundi wowote! Mimba kama ni wakati wake inaingia haijarishi umekula miogo au ugali mgumu au unanyanyua vyuma, hizi style na nguvu ni mbwembwe tu!

Sasa kama hamjali style ni kwanini mnawa judge baadh ya akina dada?
Yaani mnatafuta wajuzi wa vitandani?
Mtasikia "Aaa!! mtu mwenyewe yupo kama gogo,hajishughulishi"?
Najua utajitoa ktk hlo kundi wangu.
 
Unajua hapa tusidanganyane.
Utamu unaenda sambamba na uingiaji wa mimba.
Japo sisi wanawake ndio tunakuwaga watamu zaidi.
Najua wangu Ruttashobolwa na Judgment mtabisha.
Fungukeni... Ili tukeshe na hii Thread!
 
Unajua hapa wengi tunatafutaga raha tu yatendo bila kujua haina uhusiano na mimba.

Ni wengi wanafurahia tendo tena ni wajuzi wa mambo lakini mimba no kwa sababu havina uhusiano! Mimba ina hitaji sperm na yai la mama!

Wengi tuna lalamika katika kuitafuta raha wala si mimba!

Sasa kama hamjali style ni kwanini mnawa judge baadh ya akina dada?
Yaani mnatafuta wajuzi wa vitandani?
Mtasikia "Aaa!! mtu mwenyewe yupo kama gogo,hajishughulishi"?
Najua utajitoa ktk hlo kundi wangu.
 
Wangu sio kweli kabisa kwani sio wote wanao pata mimba wamesikia raha kwenye tendo!

Je wanao bakwa?

Unajua hapa tusidanganyane.
Utamu unaenda sambamba na uingiaji wa mimba.
Japo sisi wanawake ndio tunakuwaga watamu zaidi.
Najua wangu Ruttashobolwa na Judgment mtabisha.
Fungukeni... Ili tukeshe na hii Thread!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom