Read btn lines..Jamaa unafurahisha kweli unapotaka uongo uwe ukweli acha story za facebook huku kuna watu wazima sawa..
Acha sifa za ajabu Sema ulikuwa unaenda uchumi kuangalia vitu vingine siyo pizza Kuwa mkweli tu mungu anakuona.....!!
Hahhha dar ikikusomba vizur inakupoteza. Ukrud mikoani ndo unagutuka.Hahahaha dah sawa bana mwanaume wa Dar pizza mara nne kwa siku ?
Japo mimi mwenyewe nilinogewa na burger za Morocco almanusura niwe mwanaume wa Dar namshukuru Mungu alininusuru na hilo jiji
Vyakula mwororo vya wanaume wa dar.Pizza ndo nini?
<<Wewe NOuma saana ndio maana hivi vijamaa vinanunua DAWA za kuongeza nguvu za kukojolea vitanda vya gest>>!!Wanaume wa dar mnashida sana aisee ndio maana kina scorpion wanawaonea sana
DuuuhMuongo kweli wewe Kama ulikuwa unaenda Mara 4 kwa siku 3000*4= 12000
Kwanini usiende pale millennium tower jirani na hapo makumbusho ah 9000/= ..??
Kwani pizza si chakula? Kuna ubaya gani sasa? Au kula ni dhambi?HII NCHI VITUKO HAVIISHI YAANI MWANAUME UMEKAA KUANDIKA POST NDEFU HIVO KULALAMIKA KUWA UMEZOEA PIZZA ZA BEI RAHISI SASA HIVI HUZIPATI....DAH NYINYI NDO MNAHARIBU TASWIRA YA WANAUME WA DSM...HATA KAMA UNA MAPENZI NA HIKO KITU ILA JITATHIMINI KWANZA KABLA HUJALOPOKA,UNATAKIWA KULALAMIKIA KITU KAMA MCHELE,UNGA,NGANO NK.
walikuwa na Pizza tamu sana tena kwa bei nzuri tu ambayo ilitufanya sisi wapenzi wa pizza tule pizza kila mara. sasa baada ya uchumi kuondolewa nimekuwa nikihangaika kwa mimi nliye mjini ntapata wapi pizza kama zile za bei rahisi na zenye ubora pia? maana town ukigusa pizza tsh 12,000 + kiukweli hapo hatuwez kula kila siku sisi wenye kipato kidogo.
tufahamishane wadau kijiwe kingine cha kula pizza kwa bei nzurikama ya uchumi ni wapi?
HII NCHI VITUKO HAVIISHI YAANI MWANAUME UMEKAA KUANDIKA POST NDEFU HIVO KULALAMIKA KUWA UMEZOEA PIZZA ZA BEI RAHISI SASA HIVI HUZIPATI....DAH NYINYI NDO MNAHARIBU TASWIRA YA WANAUME WA DSM...HATA KAMA UNA MAPENZI NA HIKO KITU ILA JITATHIMINI KWANZA KABLA HUJALOPOKA,UNATAKIWA KULALAMIKIA KITU KAMA MCHELE,UNGA,NGANO NK.
CHIZI MAARIFA UMEPANIC,HAPA TUNATANIANA TU,PIA KAMA NI MDADA HAKARIPIWI IVO DAAH!
Huna kazi/shughuli ya kufanya hadi uende supermarket Mara nne kwa Siku? Au ww ni kibaka.Daaaaaaaaaaahhh yani mimi ujue nakaa hapa Makumbusho. Sasa nilikuwa naenda hapa uchumi supermaket hata mara nne kwa siku.
Sasa hivi naenda piza hati ila nako mbali sana daah... Yani umenikumbusha mbali sana
hahahahaa kumbe umeona magimbi hayana changamoto za maisha alafu yana kiungulia sana bora ustick na wanaume wa dar.Wanawake wa dar tunawataka hawahawa wanaume wetu wala pizza...haha...hatutaki wala magimbi
vyakula rojorojo zilizorojekaVyakula mwororo vya wanaume wa dar.
KULA chapatti, na uifikirie ni pizza!walikuwa na Pizza tamu sana tena kwa bei nzuri tu ambayo ilitufanya sisi wapenzi wa pizza tule pizza kila mara. sasa baada ya uchumi kuondolewa nimekuwa nikihangaika kwa mimi nliye mjini ntapata wapi pizza kama zile za bei rahisi na zenye ubora pia? maana town ukigusa pizza tsh 12,000 + kiukweli hapo hatuwez kula kila siku sisi wenye kipato kidogo.
tufahamishane wadau kijiwe kingine cha kula pizza kwa bei nzurikama ya uchumi ni wapi?
walikuwa na Pizza tamu sana tena kwa bei nzuri tu ambayo ilitufanya sisi wapenzi wa pizza tule pizza kila mara. sasa baada ya uchumi kuondolewa nimekuwa nikihangaika kwa mimi nliye mjini ntapata wapi pizza kama zile za bei rahisi na zenye ubora pia? maana town ukigusa pizza tsh 12,000 + kiukweli hapo hatuwez kula kila siku sisi wenye kipato kidogo.
tufahamishane wadau kijiwe kingine cha kula pizza kwa bei nzurikama ya uchumi ni wapi?