Kwa waliochaguliwa UDSM

we jiandae kwa mabashi na starehe thn mtagoma kidogo afu wiki ya 7 ikifika chuo knachanganya mboooovuu test ztaanza unashangaa week 15 UE njian thn mnapiga pepa thn hm field....tokeo linakuja sup za kutosha thn mmedisko mbayaaaaa coz ni kizaz cha TCU pale mnatupwa tu vilaza haya watabe haya imradi mnaenda tu....TCU inaua chuo nyie madogo mkifika chuo hamna akili kabsa mnagoma hata v2 vya kipuuuz coz hamjui uchungu wa kupata chuo............SO TAKE CARE WITH UDSM C LELEMAMA PALE.....
 
Habari zenu wanajf,mimi ni miongoni mwa waliochaguliwa kujiunga udsm kwa mwaka huu wa masomo. Naomba kwa yule anaefahamu anisaidie nifahamu chuo kitafunguliwa lini kwa first year?,pia joining instruction forms wanatoa au utaratibu wa kuzipata uko vp?,pia upatikanaji wa vyumba mabibo au main campus uko vip?. Naomba kuwasilisha

kama ni engineering au bcom or law nenda kagangamale ubebwe pale main campus....vyumba kwa 1st yr hamna longolongo utapata tu ila campus panahusika tena ka unajua msuli wako tembo.....
 
Back
Top Bottom