Kwa waliochaguliwa mzumbe chuo cha ma genious tuzungumze

@ Wi-fi , du umemwagia maji dogo , bila shaka hii id tutaiona mara ya mwisho kwenye hii thread .
Karibu Jf Daniel Ido
 
YES, this is our genius!

Form IV

0485/0158 M DANIEL IDDO 22 III CIV-C HIST-D GEO-C KISW-C ENGL-C BIO-D B/MATH-D COMM-F B/KEEPING-B
mkuu respeeeeect!! vijana kama hawa ni kuwapa mifano hai tu sio siasa tena za bongo!!! kwel huyu ndo GENIOUS!!!!
 
mwana iyo ishu niliandika nione watu wata comment aje...i was not hat serious ipotezee basi,,duuuuuh sikutegemea watu wataichukulia namna hii
WE ni mku***vu sana yan unapima hasira za watu...unaweza pima hasira ya mtu wewe...kama hauko serious na kitu unapost cha nini au unadhan hapa ni FB au jukwaa la mipasho!!! kuwa makin kijana sio kila mtu anapenda utani wa kijinga humu.....KAJIPANGE HUKO **** SANA WEWE!!!
 
safi sana makamanda,huyu dogo kweli hajakua,ma .T.O wote wako UDSM halafu unakuja kupima upepo JF,nenda kapumzike kwenye kijiwe cha kahawa tu...hapa umefulia.

Salute. WI-FI,na grthinkers wengine.
 
itafika mahara kinachotokea bungeni kikahamia hapa jf,..watu hamjajipanga mnakurupuka tu!! ebo tuacheni mzaha mahali pasipo hitaji mzaha..
 
"ma .T.O wote wako UDSM"

SEHEMU ZINGINE ZOTE UMEPATIA ILA ULIPOFIKA HAPA TU ndio UKAHARIBU...UNGESEMA WENGI WAO NA SI WOTE MANA KUNA WENGINE WAMEENDA VYUO VYA NJE NA WENGINE WAMEENDA MUHIMBILI NA VYUO VINGINE KWAHIYO SIKU NYINGINE JIPANGE BW.E.GE WEWE....
 
naona kasoma High Gout Leader, madogo ya hivi mineno mingi lakini kichwani holla! Mtakaokuwa nae mtujuze yatakayojili huko
 
Back
Top Bottom