kwa walio na wanaosoma IFM

chilubi

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
8,182
6,214
Ndugu zanguni mi nimeshangazwa na system ya IFM, kwanza kabisa kusema ukweli sijaona faida ya "PROSPECTUS" kale katabu wanachotoa pale mana hakuna walifuatalo zaidi ya marks na grading tu!

Sasa ivi nimelipia 1st installment kamili, bado installment ya pili, nashangaa matokeo wamezuia mpaka nilipe installment ya pili, mimi binafsi naona wanataka kutuzingua saivi, kikawaida kama umelipa installment ya mwanzi full then you have the right to see. Your results! Au SIVYO JAMANI?

Vile vile naomba niwauliza pia, je IFM wanaweza kutoa transfer from IFM to another Uni unayotaka? Na kama unaweza je process na requiremnts zikoje?
 
pole sana mkuuu kwani ifm si chuo cha serikali
 
Back
Top Bottom