asante.
Na mie siwezi hata kukodi watu wa kumshugulikia, nitamshiighulikia kwa mikono yangu miwili.
Majigo sa nyingne una mipwenti wewe safi sana mkuu!
kiukweli maisha yanafanya tusahau sana majukumu yetu kama wazazi!tukijiuliza tu wangapi humu tunasali usiku kabla ya kulala pamoja na watoto wetu!kama ambavyo wazazi wetu walikuwa wanafanyha kwetu wakati tunakua?