sasa wakina mama wanajifanya kutubania ila akisikia una mke mdogo ananza kulia unamwambia wewe ulishindwa kunitimizia mahitaji nimekutafutia msaidizi
Najisikia kuchangia changia hii thread...
MH jaman wanawake si kwamba wanawanyima unyumba waume zao its just MTU ANA HASIRA ZAKE ,HAYUPO KWENYE MOOD HATA KDG MAHASIRA KIBAO THEN WE WATOKA UKO KURUPUU NATAKA UNYUMBA ..wala haujishugulish kutoa hasira mkeo zilizomjaa...MZUNGUMZE KWANZA then muendlee lakin kutaka mambo wakat mwenzako mahasira mia mia si fresh....unless unamfanya mwenzako CHOMBO CHA STAREHE...akinuna asinune we wataka kumpanda tu[/QUOTE]
:juggle::juggle:
We mdada wababa hawanyimwi kabisa wala hawatishiwi nyau, ukiwanyima kwa kisingizio cha kununa amekukosea wala hajiulizi mara mbili huyoooooooooo kwa shantel, hapo ndio utalia kilio cha kusaga meno
MH jaman wanawake si kwamba wanawanyima unyumba waume zao its just MTU ANA HASIRA ZAKE ,HAYUPO KWENYE MOOD HATA KDG MAHASIRA KIBAO THEN WE WATOKA UKO KURUPUU NATAKA UNYUMBA ..wala haujishugulish kutoa hasira mkeo zilizomjaa...MZUNGUMZE KWANZA then muendlee lakin kutaka mambo wakat mwenzako mahasira mia mia si fresh....unless unamfanya mwenzako CHOMBO CHA STAREHE...akinuna asinune we wataka kumpanda tu
duh hii ni balaa lol huyo mwanamke atakua chizi hv anajua aliolewa ili iweje kama sio kutoa hiyo tamu?!hapo mwanaume hana makosa na angepata mwanaume type yangu miezi 10 pia mingi mwanawane ningeopoa kidogodogo zamaaani na kumuacha huyo waifu aendelee kubana miguu yakeHivi una wezakuwa kwenye mood mbaya kwa muda wa miezi 10 mpka hata mwaka mzima? hapo chukulia kuwa wewe unatoka matembezi na mashoga zako na maongezi yote mema unayafanya na mumeo isipokuwa kwenye ku DO unakuwa mkali kama mbogo eti bado hujisikii vizuri na kosa la mumeo bado hujaweza kuamua usamehe au la? Mkasa huo ni wa rafiki yangu wa karibu ambapo nilishawishika kuuanzishia topiki tofauti lakini baada ya kukutana hii inayofanana kabisa nayo basi Msaranga ataniwia radhi ka kudandia daladala!
Kisa changu ni tofauti kdg kwani ni kweli kuwa huyo bwana kamtenda mkewe na amekiri na katika kujieleza anasema ni tabia iliyokuwa haieleweki ya mwenzie kumkaushia unyumba kwa muda mrefu wiki 2 mpaka mwezi bila sababu yoyote ya kumfanyia hivyo, ndo iliyopelekea yeye kuwa na ukame na kuamua kujisevia nje na mpango wake wa kando; wanyetishaji walimtaarifu mamsap na bwana akabambatizwa (sio kubambwa) na mazingira ya ushahidi yalikuwa makubwa upande wake kiasi kwamba haikuwa busara kuuruka ushahidi huo ispokuwa kukiri makosa ili mambo yaishe!
Mamasap akaja juuu zaidi hasikii wala haambiwi na badala ya kumkaushia kwa muda saa ndoa akaamua kubana miguu kabisaaaaa! hakuana kinachotoka ; mwezi wa kwanza; wa pili ....mpaka ninavyotype hapa wanakaribia mwaka NO TUNDI kutoka kwa mamaa; katikati ya safari jamaa akaona huu ujinga akaifungua milango ya uwekezaji amabayoalikuwa ameirudishia na sasa yuko kwenye mchakato wa kubwaga manyanga..........akiwa amekata tamaa ya kupata msamaha kabisa. najua wengine watasema amekosa uvumilivu.............but jamani mwaka mzima........mwenzio yupo kwenye mood isiyobadilika wala kuisha?
Si haki kunyimana lakini unaweza ukapewa kwa kisirani na hata usisikie raha ya tendo lenyewe cha msingi ni kumaliza mgogoro then ndo mpeane kwa raha zenu.