Kwa wale wote wanaoeneza propaganda eti cuf ni chama cha kiislam

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Julius Mtatiro and 4 others.
.KWA WALE WOTE WANAOENEZA PROPAGANDA ETI CUF NI CHAMA CHA KIISLAM

Assalaam Alaykum

Amani ya bwana iwe pamoja nanyi.
429868_496413237035810_1364164589_n.jpg
picha inaongea zaidi ya maneno
 
Julius Mtatiro and 4 others.
.KWA WALE WOTE WANAOENEZA PROPAGANDA ETI CUF NI CHAMA CHA KIISLAM

Assalaam Alaykum

Amani ya bwana iwe pamoja nanyi.
429868_496413237035810_1364164589_n.jpg
picha inaongea zaidi ya maneno

nikiangalia kwa ustadi hapa naona burimasa yameandikwa CUF
 
CUF si chama cha kiislam, lakini waislam wengi zaidi wanakipenda, wanaona kinaendama kimuono!
 
Teh teh teh, Inamaanisha wooooote wanaovaa katika mtindo huo ni wakristo???
 
Hata hiyo picha haieleweki, mi' nadhani aliyeweka alikuwa kalewa...

hilo ni fumbo, hakuwa anamaanisha kuhusu dini kabisa, wala siasa, wala hajalewa(pombe, mayb ulevi mwingine) alimaanisha vitu vingine tofauti...
 
Back
Top Bottom