Mayongeyonge
Member
- Jan 21, 2012
- 14
- 0
Wandugu mimi ni mwl nimepangwa kazi shinyanga mjini.Ninaomba nijulishwe mazingira ya huko eg hali ya hewa, huduma za jamii,na maisha kwa ujumla.
Ahsante sana mkuu.kwasasa nipo darKaribu kwetu,usijali uta enjoy sana,mkuu.Kwa sasa uko wapi? Karibu home
Wandugu mimi ni mwl nimepangwa kazi shinyanga mjini.Ninaomba nijulishwe mazingira ya huko eg hali ya hewa, huduma za jamii,na maisha kwa ujumla.
Wandugu mimi ni mwl nimepangwa kazi shinyanga mjini.Ninaomba nijulishwe mazingira ya huko eg hali ya hewa, huduma za jamii,na maisha kwa ujumla.
Hali ya hewa ya Shy itasaidia nini mkuu!
Kule zipo challenge nyingi kama ilivyo sehemu yoyote ile hapa Tanzania. Usisahau kwenda Shy na jembe la kulimia!
Jiandae kulogwa.
Wandugu mimi ni mwl nimepangwa kazi shinyanga mjini.Ninaomba nijulishwe mazingira ya huko eg hali ya hewa, huduma za jamii,na maisha kwa ujumla.
Shinyanga kubwa....Kuna wilaya nyingi..ni wilaya gani umepangiwa..kama ni shinyanga mjini wala huhitaji kuwaza sana...ni kama miji mingine...zamani ilikuwa ndio kuwaza sana..lakini kwa sasa huhitaji.
Mkuu naomba kama wewe una ufahamu zaidi kuhusu upatikanaji wa huduma za jamii shinyanga vijijini. Huko ndiko nilikopangwa. I will thank you in deed
Imani potofu, hao wanaoishi huko wanaishije?Jiandae kulogwa.
Watasoma st costantine, watafundishwa na wazungu..loldaah nyie waalim, sasa mnataka wanetu wasomeshwe na nani?
kama pangekua hapakaliki, basi msingepangwa maana kungekua hakuna watu wakuhitaji hiyo huduma ya elimu.