Kwa wale wenye nyumba ndogo - soma hapa

Jamani ee duniani kweli kuna mambo? pole sana kaka maisha ndivyo yalivyo... kaa tulia na mkeo, pekueni mtandaoni mtafute njia mpya za kurudisha mapenzi ya dhati kati yenu kama yamepotea.
 
Mkae mkielewa nyumba ndogo hauwezi kuwa unapiga mwenyewe hata siku moja. Kwanza she is out of your control so she has lot of chances to play with your constipated brain.

Ukiachana nae ukielekea kwa mke wako ujue nae anaingia field kufanya projects zake. Ndo pale ukipiga simu haipokelewi wala message hazijibiwi tena. Kesho yake unakuwa mkali anakwambia alikuwa amelaa - full stop.

Ushauri
Tuepende wake zetu tuachane na nyumba ndogo na nyie NYUMBA ndogo tafuteni wa kuwaowa.

Hahahahahah! yaani ndiyo umestuka leo , mm nilikuwa nakutizama tu, tena nenda pia kacheki na afya yako kama uko mzima. Chezea nyumba ndogo wewe
 
Acheni kutisha wanaume, wanaume walio kamilika hawatishwi na maneno :poa
 
Hata Mkeo tu huwezi kuwa sure unapiga peke yako sembuse nyumba ndogo? Utapata pressure bure
 
Mkae mkielewa nyumba ndogo hauwezi kuwa unapiga mwenyewe hata siku moja. Kwanza she is out of your control so she has lot of chances to play with your constipated brain.

Ukiachana nae ukielekea kwa mke wako ujue nae anaingia field kufanya projects zake. Ndo pale ukipiga simu haipokelewi wala message hazijibiwi tena. Kesho yake unakuwa mkali anakwambia alikuwa amelaa - full stop.

Ushauri
Tuepende wake zetu tuachane na nyumba ndogo na nyie NYUMBA ndogo tafuteni wa kuwaowa.
Mwanangu umeshtukia ankupiga changa la macho nini hahah hahahaha aaaa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ww ukitoka kwa nyumba ndogo acha hela hapo mezani rudi kwa mkeo mbio kabla nae hajatoka kwa nyumba ndogo yake! Mambo ya nani kaingia nani katoka haihuu! Ni biashara kama zilivyo zingine!

Hi hi hiiiiiiii wambieeeeeeeeeee

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hata Mkeo tu huwezi kuwa sure unapiga peke yako sembuse nyumba ndogo? Utapata pressure bure

Lakini mbona na nyie mwapenda kuchovya chovya kila kona but ukihisi kuna mtu unashea nae unatoka POVU ... Vizuri kula na wenzio bana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkae mkielewa nyumba ndogo hauwezi kuwa unapiga mwenyewe hata siku moja. Kwanza she is out of your control so she has lot of chances to play with your constipated brain.

Ukiachana nae ukielekea kwa mke wako ujue nae anaingia field kufanya projects zake. Ndo pale ukipiga simu haipokelewi wala message hazijibiwi tena. Kesho yake unakuwa mkali anakwambia alikuwa amelaa - full stop.

Ushauri
Tuepende wake zetu tuachane na nyumba ndogo na nyie NYUMBA ndogo tafuteni wa kuwaowa.
Nduka Original sio wewe ulishauri hapa au naota??
 
Last edited by a moderator:
Mkae mkielewa nyumba ndogo
hauwezi kuwa unapiga mwenyewe
hata siku moja. Kwanza she is out of
your control so she has lot of
chances to play with your
constipated brain. Ukiachana nae ukielekea kwa mke
wako ujue nae anaingia field
kufanya projects zake. Ndo pale
ukipiga simu haipokelewi wala
message hazijibiwi tena. Kesho yake
unakuwa mkali anakwambia alikuwa amelaa - full stop. Ushauri
Tuepende wake zetu tuachane na
nyumba ndogo na nyie NYUMBA
ndogo tafuteni wa kuwaowa.
... WATUMIHAJI WANADAI INA RAHA YAKE. UNATUMIA VYOVYOTE UTAKAVYO.
 
Back
Top Bottom