Kwa wale watumiaji wa "VEET HAIR REMOVAL CREAM"

Futota

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
521
87
Maelekezo yake yanasomeka "........designed for the legs, arms, underarms and bikini line, not suitable for any other body parts......" sasa hii bikini line ina maanisha rukhsa kutumia kuondoa mavuzi? (kumradhi kutumia neno hili).
Natanguliza shukran
 
mimi ni mtumiaji mkubwa wa veet hair removal cream,natumia sehemu zote zenye nywele,i mean private area,kwenye kwapa na haijawahi kunidhuru.nikishajinyoa,sehemu huwa safi kabisa,hakuna vipele wala mikwaruzo.ila hizi veet zinatofautiana,ninazozijua mimi kuna moja cover lake la nje la pink,na jengine la zambarau.la zambarau ni kali huwa situmii hiyo,hiyo ya pink ndio inayonifaa
 
niliyonayo kwa sasa home ni rangi ya kijani
nitaenda nunua veet za rangi hizo ulizozitaja mahususi nitumie kwa "bikini line"
thx
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom