Kwa wale watakao chaguliwa Instute of Accountancy Arusha, Zingatia haya

The navi 2

JF-Expert Member
Aug 31, 2013
352
45
Kama ukipata bahati ya kuchaguliwa chuo kikuu cha uhasibu arusha (IAA).. Zingatia haya

1.kama umepata/hujapata mkopo lazima unapokuja uje na ada asilimia 60, lasivo hutafanyiwa usajili...
2.uhasibu ipo maeneo ya njiro.. Ukifika stendi kuu arusha uwe makini kuna wahuni sana... Tafuta bodaboda ikulete mpaka sehemu ya daladala za njiro
3.andaa kama laki tatu au nne kwa ajili ya hostel...
4.andaa kama laki mbili kwa ajili wa msosi.
5.jiandae kuja kusoma na sio bata lasivo jiandae ku-disco
 
Back
Top Bottom