Kwa wale wasio na mvuto wa kimapenzi tu

Hahaha!Kweli huyo ndo mjasirimali..na tulivyo wengi mbona atatajirika in no time!
 
Ahsante mkuu, nshachukua namba za simu... Hapa JF lazima niwamege kama 10 hivi.
 
poa vaa kabsa bas..lakin uvae sket au kanga usivae suruali..

Napiga skin jeans yangu,akileta za kuleta imuwie ngumu kuvua niwaokoe nyie????huwezi jua uko tutakutana na nini,twaweza leweshwa atushughulikie mwenyewe???au twende na Aspirin???
 
Ebu kabla hamjaenda mpitie kwangu achaneni na hivyo viserengeti. Woote mtapata wa kusalimiwa nitamsalimu na wa kuangaliwa nitamwangalia na kumsalimia. ebu nyie njoooni tu mtasimulia msiende kwa huyo mganga.
 
Simu zake ziko engaged watu wanapiga kupita maelezo kumbe wengi wnapenda mamvuto eeh
 
hivi hakuna mganga wa kutupeleka mbinguni au kutufanya tusife?? hii miganga mitapeli sana aisee
 
Hapo ni kwa wale wanaotaka mvuto wa mchumba! au mchumba ndiyo hao hao ma BF/GF? Unaweza kukosa mchumba ila ukawa na BF/GF sisi tusiopenda matatizo ya kuolewa hatupati ng'ooo!!!
 
Kwa style hii tutaokotwa wengi, hivi upewe dawa alafu zianze kubakfaya utafanyaje??

Nawashaurini wadada wenzangu muwe na subira, maana ndio inayovuta heri.
 
Back
Top Bottom